Kigwangalla: Nimekuwa Mbunge miaka 11, ila Rais Samia amefanya mambo sijawahi kuona

Uzuri wa serikali yenye uwazi! Jiwe alikopa trilion 20 ndani ya miaka mitano hazijulikani zimeenda wapi, maana miradi yake anayosingizia hiyo hela aliipeleka huko yote haijakamilika ndani ya muda aliotudanganya itakamilika! Angeendelea mitano mingine angetuachia deni la tril 100 yule jamaa, na hela yote angeitafuna yeye na ndugu zake
Kabisa mama yko wazi kabisa

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Ngwala acha kujikomba.
Kwa sababu hizi hizi ndio maana juzi Kati uliingizwa Cha kike na aliyeandika gazeti FEKI la SCOTSMAN.
Ngwala yule mmama wa aliyefanya ukose uwaziri bado unaendelea naye? Kumbuka Kuna wanawake Wana nuksi.
 
Back
Top Bottom