Kigwangalla kuja na utalii wa 'Entertainment'


Donatila

Donatila

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Messages
3,092
Likes
4,037
Points
280
Age
28
Donatila

Donatila

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2014
3,092 4,037 280
KIGWANGALLA%2B1543.jpg

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr. Hamisi Kigwangalla ameagiza taasisi zote zilizopo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii kuwekeza kwenye mkakati wa kuleta utofauti katika vivutio vya utalii.

Waziri Kigwangalla ametoa agizo hilo jijini Arusha, kwenye kikao chake na wafanyakazi wa TANAPA ambapo amesema, lengo la wizara yake ni kuongeza idadi ya siku na kiasi cha fedha ambazo mtalii atatumia akiwa nchini.

Pamoja na watalii kutoka nje, lakini waziri ameagiza mamlaka zinahakikisha vivutio vya utalii lazima viwahusishe wananchi wa maeneo husika ili kuongeza idadi ya watalii wa ndani.

Aidha katika kikao hicho waziri ameeleza kuwa, wizara yake inataka kuwekeza kwenye utalii wa "Entertainment" ambao utahusisha fukwe mbalimbali katika miji iliyopo katika ukanda wa bahari na maziwa. "Utalii wa Entertainment yaani burudani, tuna fukwe mbalimbali ambazo zinaweza kuleta impact kubwa kwenye sekta hii na kutengeneza ajira kwa vijana" amesema Waziri Kigwangalla.

Ameongeza kuwa utalii wa burudani utaambatana na utalii wa utamaduni ambapo wizara iko mbioni kuanzisha Dar Bus Tour, Arusha Bus Tour, Presidential Museum, Theme Park, Tanzania na Heritage Month.


Muungwana
 
K

Kingdavi.ii

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
1,181
Likes
722
Points
280
K

Kingdavi.ii

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
1,181 722 280
Strategy plan katika kukuza utalii ni muhimu kuliko matamko ya kisiasa .
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
21,774
Likes
46,581
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
21,774 46,581 280
Mawazo mazuri tatizo ni utekelezaji
 
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Messages
7,529
Likes
14,394
Points
280
Ngushi

Ngushi

JF-Expert Member
Joined Jul 8, 2016
7,529 14,394 280
Huyu kiboko yake Balozi Kagasheki!
 
edu88

edu88

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2009
Messages
703
Likes
509
Points
180
edu88

edu88

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2009
703 509 180
Mwanzo mzuri Dkt. Inabidi tufanye mapinduzi makubwa kwenye sekta ya utalii ili kuongeza idadi ya watalii.
 
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2016
Messages
1,449
Likes
3,356
Points
280
pureView Zeiss

pureView Zeiss

JF-Expert Member
Joined Sep 5, 2016
1,449 3,356 280
Hizo pesa za entertainment utazitoa wapi?serikali yako ipo hoi kwa madeni.....kiki zilimshinda bashite utaweza wewe kigwangwala??
 

Forum statistics

Threads 1,213,498
Members 462,160
Posts 28,480,113