Lkn pia umebeba kifimbo cheusi. Kigwangallah kwa taarifa yako tu ni kwamba tunasoma, tunaona picha na wengine waliona kwa macho yao, kwamba kifimbo ilikuwa ni political insignia ya baba wa taifa hili. Buni cha kwako bro.
Huwa najiuliza anayewateua anakuwa amefanya vetting kweli au na yeye kwa vile ni sehemu ya walewale.Huyu Boya Bagaile alienda kutafuta nini? Meno au na yeye kiki zile zile za kufunga gate wizarani?? Umewahi saa 12.30 sawa vizuri sana.....na wale wapi picha ITV wametokea wapi?? Mwambieni aache maigizo...afanye kazi kwa taratibu.....wamepita wengi sana.... wamepita wengi na watapita wengi
Kwani si watu wanakuaga na role models zao? kama baba wa taifa ndo role model wa Kigwanomics kwanini uone ajabu kumrithi kifimbo? Hayo ya ukali kama boss wake ni kik tu anataka kumuonyesha boss anapiga kazi maana anajua akitumbuliwa kitaa kulivyo kugumu ataishije.
....Na wewe uache uongo kwenye threads zako. Mtu mzima haipendezi kuwa muongo kama mtoto mdogo.Aaah! Mkuu swali hili nitalijibu kwenye jukwaa lileee!!
. Yani kila kitu kik jamani. Mpaka 2025+ ifike tutashuhudia vituko vingi sana.KIKI NILIYOIKUBALI NIA BWANA GONDWE SIJUI GODWIN, ETI ANAKAGUA JENGO LA SHULE NA KUSEMA HELA ZA MAGUFULI NI ZA MOTO? NILICHEKA HATARI!
Sawa mkuu.....Na wewe uache uongo kwenye threads zako. Mtu mzima haipendezi kuwa muongo kama mtoto mdogo.
Alimpaisha James delicious wa Instagram mpk basiJamaa uwa ni lipenda sifa hatari ni lizee la kwenda na kik, wakati wa madawa ya kulevya nalo liliibuka na mashoga sijui aliishia wapi.
They are best than bongo muvView attachment 642880 Kigwangallah ktk ziara yako ya kustukiza bandarini umekuja ukiwa umevaa sura na taswira bandia. Umevaa sura ya ukali kama bosi wako rais Magufuli. Naona mikunjo usoni kwako isiyosadifu nafsi yako. Vaa sura yako mazee.
Lkn pia umebeba kifimbo cheusi. Kigwangallah kwa taarifa yako tu ni kwamba tunasoma, tunaona picha na wengine waliona kwa macho yao, kwamba kifimbo ilikuwa ni political insignia ya baba wa taifa hili. Buni cha kwako bro.
Hajielewi huyu jamaa. Bila shaka naye ni miongoni mwa wale "Washamba na Malimbukeni"Waziri wa utalii kaenda kutalii bandari
Wote tuu waigizaji. Ila hawa ndio ma sterling wenyewe!Huwa najiuliza anayewateua anakuwa amefanya vetting kweli au na yeye kwa vile ni sehemu ya walewale.
Hata Mwl. Alikuwa akisemwa kaunda suti alizovaa kaiga toka kwa Mao tse tung!View attachment 642880 Kigwangallah ktk ziara yako ya kustukiza bandarini umekuja ukiwa umevaa sura na taswira bandia. Umevaa sura ya ukali kama bosi wako rais Magufuli. Naona mikunjo usoni kwako isiyosadifu nafsi yako. Vaa sura yako mazee.
Lkn pia umebeba kifimbo cheusi. Kigwangallah kwa taarifa yako tu ni kwamba tunasoma, tunaona picha na wengine waliona kwa macho yao, kwamba kifimbo ilikuwa ni political insignia ya baba wa taifa hili. Buni cha kwako bro.
Rais na makamu wakeWote tuu waigizaji. Ila hawa ndio ma sterling wenyewe!