Kigwangalla jitahidi kuwa wewe, acha maigizo ya personality

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
8,674
2,000
24232554_1705888122814866_809042914899796626_n.jpg
Kigwangallah ktk ziara yako ya kustukiza bandarini umekuja ukiwa umevaa sura na taswira bandia. Umevaa sura ya ukali kama bosi wako rais Magufuli. Naona mikunjo usoni kwako isiyosadifu nafsi yako. Vaa sura yako mazee.

Lkn pia umebeba kifimbo cheusi. Kigwangallah kwa taarifa yako tu ni kwamba tunasoma, tunaona picha na wengine waliona kwa macho yao, kwamba kifimbo ilikuwa ni political insignia ya baba wa taifa hili. Buni cha kwako bro.
 
Mzigua90

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
35,867
2,000
Kwani si watu wanakuaga na role models zao? kama baba wa taifa ndo role model wa Kigwanomics kwanini uone ajabu kumrithi kifimbo? Hayo ya ukali kama boss wake ni kik tu anataka kumuonyesha boss anapiga kazi maana anajua akitumbuliwa kitaa kulivyo kugumu ataishije.
 
Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
10,890
2,000
Huyu Boya Bagaile alienda kutafuta nini? Meno au na yeye kiki zile zile za kufunga gate wizarani?? Umewahi saa 12.30 sawa vizuri sana.....na wale wapi picha ITV wametokea wapi?? Mwambieni aache maigizo...afanye kazi kwa taratibu.....wamepita wengi sana.... wamepita wengi na watapita wengi
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
38,305

Huwa najiuliza anayewateua anakuwa amefanya vetting kweli au na yeye kwa vile ni sehemu ya walewale.
 
uttoh2002

JF-Expert Member
Feb 3, 2012
5,554
2,000
Kwani si watu wanakuaga na role models zao? kama baba wa taifa ndo role model wa Kigwanomics kwanini uone ajabu kumrithi kifimbo? Hayo ya ukali kama boss wake ni kik tu anataka kumuonyesha boss anapiga kazi maana anajua akitumbuliwa kitaa kulivyo kugumu ataishije.

KIKI NILIYOIKUBALI NIA BWANA GONDWE SIJUI GODWIN, ETI ANAKAGUA JENGO LA SHULE NA KUSEMA HELA ZA MAGUFULI NI ZA MOTO? NILICHEKA HATARI!
 
Mzigua90

JF-Expert Member
Sep 23, 2014
35,867
2,000
KIKI NILIYOIKUBALI NIA BWANA GONDWE SIJUI GODWIN, ETI ANAKAGUA JENGO LA SHULE NA KUSEMA HELA ZA MAGUFULI NI ZA MOTO? NILICHEKA HATARI!
. Yani kila kitu kik jamani. Mpaka 2025+ ifike tutashuhudia vituko vingi sana.
 
Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
2,232
2,000
Jamaa uwa ni lipenda sifa hatari ni lizee la kwenda na kik, wakati wa madawa ya kulevya nalo liliibuka na mashoga sijui aliishia wapi.
 
fugees

JF-Expert Member
Aug 13, 2012
2,872
2,000
View attachment 642880 Kigwangallah ktk ziara yako ya kustukiza bandarini umekuja ukiwa umevaa sura na taswira bandia. Umevaa sura ya ukali kama bosi wako rais Magufuli. Naona mikunjo usoni kwako isiyosadifu nafsi yako. Vaa sura yako mazee.

Lkn pia umebeba kifimbo cheusi. Kigwangallah kwa taarifa yako tu ni kwamba tunasoma, tunaona picha na wengine waliona kwa macho yao, kwamba kifimbo ilikuwa ni political insignia ya baba wa taifa hili. Buni cha kwako bro.
They are best than bongo muv
 
Zanika

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,305
2,000
View attachment 642880 Kigwangallah ktk ziara yako ya kustukiza bandarini umekuja ukiwa umevaa sura na taswira bandia. Umevaa sura ya ukali kama bosi wako rais Magufuli. Naona mikunjo usoni kwako isiyosadifu nafsi yako. Vaa sura yako mazee.

Lkn pia umebeba kifimbo cheusi. Kigwangallah kwa taarifa yako tu ni kwamba tunasoma, tunaona picha na wengine waliona kwa macho yao, kwamba kifimbo ilikuwa ni political insignia ya baba wa taifa hili. Buni cha kwako bro.
Hata Mwl. Alikuwa akisemwa kaunda suti alizovaa kaiga toka kwa Mao tse tung!
Fimbo ni moja ya Alama ya Uchifu mtu anayopewa ktk baadhi ya jamii. Sasa km utaithamini ni juu yako au uiweke kwenye Kabati pia ni uamuzi wako. Wako wengi wanazo na wanatembea nazo hivyo sio hoja ama hati miliki ya mtu fulani tu. Pia sio vibaya kwa Mtu kufata nyayo za Mwl.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom