mtu anashinda facebook muda wote kubishana na watu halafu nae anataka urais! Rais anaewaza kusomea watu al badil!
I could say a few things about plagiarism, but this is Kigs, what do you expect.
After all anafuata nyayo za baba yake Nyerere.
Nachukia sana nikiona wanasiasa wanatumia maneno ya Bertrand Russell huko, au St Augustine, au Martin Luther King, halafu hawatoi attribution. Wanataka kuonekana kama ndio wao waliosema kwa mara ya kwanza maneno hayo.
Natumai mbio za urais hazijaanza na plagiarism.
una uhakika mkuu?
Nyerere alikuwa plagiarist.Several times.Kam plagiarize St Francis of Asisi kwenye kusema tuwashe mwenge tuuweke juu ya mlima Kilimanjaro "ulete matumaini pasipo matumaini, blah blah blah"
Ka plagiarize wimbo maarufu wa vita Uingereza katika speech ya ku declare war on Idi Amin "Nia tunayo, uwezo tunao blah, blah blah"
Ka plagiarize left right and center, with no attribution.
Wasiosoma na kujua hivi vitu wanamuona kasema yeye.