Kigwangalla ampiga vijembe Bashe baada ya kumshinda uchaguzi wilayani Nzega

mkuu,ulitaka ajibu vipi,?
mtu kuwa mbunge hakubadili utu wako na utashi,, mimi naamini wapo wabunge ccm wanaojibu kimipasho ( mfano;livingstone lusinde, mwigulu chemba) ila sio mh kigwangala !
mh kigwangala nakushauri utumie sana mitandao ya kijamii hasa jf, maana wewe humiliki magazeti na redio . huku ndiko utatendewa haki sawasawa na matendo.
Huna haja ya kumtetea. Lugha aliyotumia na namna alivyojibu hoja mbali mbali hapa siyo ya kistaarabu. Wapiga kura wake wangekuwa na uwezo wa kusoma hizi posts zake wangesikitika sana!! Ushauri wako wa yeye kutumia JF sidhani kama anatakiwa auzingatie cuz huko Nzega ni wananchi wangapi wenye access na internet???
 
ntakujibu kukipambazuka,ngoja nilale ,nina safari alfajiri kuiwahi mechi ya YANGA dar, nataka kuona mnyama akikatwa sharubu na vijana wa jangwani.
 
Nitaongea na wapiga kura wangu moja kwa moja, si lazima niongee nao kupitia press...kuna ombi nimekupa mbona hujibu?

unaongea na wapiga kura wako kuhusu nani kaamka na kuzimia na kuulizia results??

sikiliza dogo; sometimes unakurupuka na kukosea sana, na si vizuri tukuache upande huo.... sijui nini kinakukuta but huwa unakurupuka, unabwabwaj, huna simile wala nini... and sometime huwa unakua a wise man

i dont think you are on drugs, ila nadhani kuna walio karibu yako wanakuharibia dira... epuka kukaa karibu sana na wanawake wanopenda umbeya na mipasho, unakua kama wao

[sorry akina mama sina maana ya kuinsult wote, bali wale walio na tabia za vijineno]
 
Pole jipe mwenyewe; mipasho ni tenzi na mashairi tu hakuna cha ajabu; ni mwandishi ndiye anayechagua lugha gani ya kutumia ya kiungwana au ya mitaani; alichongea Dr. Kigwangalla ni sahihi si lazima ukubaliane naye; lakini kwa sisi tunayoitakia CCM mema tupo naye 100%; huu ni wakati muafaka kwa kuangalia maslahi ya chama; hasa tukielekea kwenye uchaguzi wa 2015; haya ni maoni yangu mimi mwanaccm huru siwakilishi kundi lolote ndani ya CCM na wala sitegemei fadhila za CCM wala kiongozi wa CCM, silishwi; silipwi wala sitegemei ajira CCM wala serikali ya CCM, ninachotetea ni CCM imara ambayo itapigania maslahi ya watanzania wote. Nitamuunga mkono mwanaccm yeyote anayepigania kuunganisha nguvu ya Chama na kutetea maslahi ya watanzania

Chama
Gongo la mboto DSM.

pole sana mkuu

sidhani kama kuna kuunganisha nguvu ya chama kwa bastola na mipasho ndani ya wana ccm wenyewe, unless sijui maana ya kuungana

hivi wewe unaunganisha nguvu kwa kucheka wanaCCM wenzako??

you must a joke
 
mkuu,ulitaka ajibu vipi,?
mtu kuwa mbunge hakubadili utu wako na utashi,, mimi naamini wapo wabunge ccm wanaojibu kimipasho ( mfano;livingstone lusinde, mwigulu chemba) ila sio mh kigwangala !
mh kigwangala nakushauri utumie sana mitandao ya kijamii hasa jf, maana wewe humiliki magazeti na redio . huku ndiko utatendewa haki sawasawa na matendo.
atumie mitanao yes, ila mipasho sio hadhi yake na anapochemka lazma tumpe stick za ******

anakosea kuchapisha mipasho kwenye FB anajidhalilisha yeye na familia yake, ni ujinga ushamba na upuuzi kwa mtu msomi na mwenye dhamana ya wananchi

akumbuke hata hao anaowacheka ni wananchi wa jimbo lake na ni yeye anawawakilisha
 
pole sana mkuu

sidhani kama kuna kuunganisha nguvu ya chama kwa bastola na mipasho ndani ya wana ccm wenyewe, unless sijui maana ya kuungana

hivi wewe unaunganisha nguvu kwa kucheka wanaCCM wenzako??

you must a joke

Mkuu usinilazimishe na pole siajafiwa wala kupata maafa usiniletee uchuro! Kucheka ni sehemu ya maisha ya mwanadamu unataka tunune kwa kisa gani hasa?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu usinilazimishe na pole siajafiwa wala kupata maafa usiniletee uchuro! Kucheka ni sehemu ya maisha ya mwanadamu unataka tunune kwa kisa gani hasa?

Chama
Gongo la mboto DSM
pole, pole sana, pole

kupewa pole si misiba tu... komaa na hoja - how do you justify HK kuunganisha wanaCCM kwa bastola na kucheka walioshindwa?? tena kwa style ya Shilole??

Komaa na hoja

POLE!
 
Bashe atapenya tu si timu yao imeshaingia NEC? msishangae akaja kuwa waziri wenu mkuu maana amewatumikia sana makafiri, na kwa sasa maskini amebaki kama inzi lazima afie kidondani atakwenda wapi? amepewa ukurugenzi hata idara hajafuzu kuongoza, kampuni ndio iko pale haizi lakini ina ma billboard utadhania cocacola, kisa 10% na wizi tu, hata Jamhuri linawashinda kwa mauzo, muda hana yuko nzega kila siku, tangu atoke mwananchi anaendelea kurudi nyuma, hawezi kuajirika kwa sababu hana skill, na hawezi kazi, muda wote yuko barabarani mambo ya CCM, msomi kama ngumbaro, hawezi ku comment kwenye profession anayodai ndio yake, si marketer si mtu wa sales very sad, sasa hayo makampuni ya wakina rostam ndio uwezo wao na JK wa kuongoza hata nchi, japo sisemi kama kingwangala ni sawa, kinachomtesa ni dhuluma ya jina la mwenzake na kuishi kwa favor, kapendelewa na watu hawajamkubali, ila ni vizuri anavyowachapa hao mafisadi
 
pole, pole sana, pole

kupewa pole si misiba tu... komaa na hoja - how do you justify HK kuunganisha wanaCCM kwa bastola na kucheka walioshindwa?? tena kwa style ya Shilole??

Komaa na hoja

POLE!

Sijasikia pole ikatolewa harusini; hiyo hoja unayoipigania sioni; naona unachopigania ni agenda zako binafsi dhidi ya Dr. Kigwangalla; tukio la bastola siwezi kulihusisha na alichosema mh. Kigwangalla nilichounga mkono ni kauli yake ambayo ndiyo ukweli kwa mwanaccm anayekitakia chama chetu mema; mkuu naona umegubikwa na wingu la shinikizo inaonekana unachoandika ni kwa maslahi ya watu fulani na si CCM; hilo la bastola bado ni hadithi za kusadikika hakuna aliyetiwa hatiani.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Elimu ya Madrasatsul mdogo wangu huwezi kuona kama kuna kijembe hapo! Pole sana mazeey!

Mkuu chama, hawa makamanda akili zao zimeisharibika na madude wanafakamia ugoro siku wakikosa madude, si unaona akili ya huyu kamanda.
 
Last edited by a moderator:
Acha pumba na wewe .. angenyamaza hapa si mngeamini? Kwani dk na yeye si binadam kama wewe hapo . Dr mtu akiweka mguu wewe weka jiwe hivyo hivyo tuone kama wataendelea kukuzushia hapa.

Huyu Dr. Vitumbua amekuja hapa kupaka rangi upepo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Sijasikia pole ikatolewa harusini; hiyo hoja unayoipigania sioni; naona unachopigania ni agenda zako binafsi dhidi ya Dr. Kigwangalla; tukio la bastola siwezi kulihusisha na alichosema mh. Kigwangalla nilichounga mkono ni kauli yake ambayo ndiyo ukweli kwa mwanaccm anayekitakia chama chetu mema; mkuu naona umegubikwa na wingu la shinikizo inaonekana unachoandika ni kwa maslahi ya watu fulani na si CCM; hilo la bastola bado ni hadithi za kusadikika hakuna aliyetiwa hatiani.

Chama
Gongo la mboto DSM
Umekula vitumbua vingapi?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
You said that? .... dayumn! ur one smart f**ker!!

he!
A%20S%20embarassed.gif
 
huu ujinga na mipasho ya huyu mwanasiasa anayejiita msomi na kuwa na tabia kama shilole zinanikera sana

Ya i always say mswahili hata ubukue madarasa mangapi uswahili hammuishi kwenye damu imagine a DR?!Hivi kuna mwanasheria mwanasiasa mwenye tabia za kienyeji hivi
 
Mkuu chama, hawa makamanda akili zao zimeisharibika na madude wanafakamia ugoro siku wakikosa madude, si unaona akili ya huyu kamanda.

Mkuu Ritz Chadema inabidi itenge fungu maalum la kuwapeleka hawa makamanda kwenye sober houses yaani hawaeleweki wanachosema wala wanachoandika; ndio sababu ugoro umeadimika siku nasikia wakianza na ugoro wanamalizia kunusa petrol; huyo naye Togo?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Back
Top Bottom