Kigwangalla ampiga vijembe Bashe baada ya kumshinda uchaguzi wilayani Nzega

Usiniharibie jina langu, naomba u-spell vizuri, naitwa 'Kigwangalla'. Unaweza kumdanganya mtoto tu kuwa humjui huyo uliyemtaja...maana maneno yako na jinsi ulivyochangia mjadala huu na mingine yote inayonihusu vinaeleza wazi kuwa wewe ni nani...endelea kutumika tu kaka...kwanza hauna sababu ya kukaa kwenye thread hii moja muda wote huo toka uchangie mara ya kwanza mpaka sasa hivi, na michango yako yote ikawa negative...nimekufuatilia kwa muda mrefu na kujua kuwa upo hapa kwa ajili ya kazi maalum...BASI ENDELEA TU

watu wenye kama akina MM Mwanakijiji, Pasco, Mkandara hawawezi kufanya kama wewe...jifunze toka kwao sasa ili uje kuwa mchagngiaji mwenye kuheshimika badala ya kidampa kuwadi wa marafiki zako mafisadi


What matters is not a persons name SPELLING what always matter is Humanity and 2 you has only

scratched the
surface of its real potential...
 


Yeah, Hajielewi... Sasa Baada ya Jina kukatwa Anatangaza kwenye FB kuwa WAPINZANI WOOTE MACHO na

MASIKIO Yalikuwa DODOMA na ni IMANI yake CCM itashinda kwa NGUVU 2015; Upinzani Hauna lolote...

Halafu jana na leo anajenga MAKUNDI ndani ya CCM kuteuana ili watu Wenye UHUSIANO na MPINZANI

wake
Wasipate UJUMBE wa CCM-NEC; Haya anaweka MAKUNDI NDANI YA CCM... Badala ya kuwa kimya

na Kuonyesha HESHIMA iliyomponza aondolewe ni Mwaka Mmoja na Nusu Umebaki Uchaguzi wa Ndani ya

CCM
Kuchagua Wabunge Unaanza... Unadhani kwa sasa hivi JINA lake halipo; Sidhani MWENYEKITI

atamteua... NDIO HAO VIJANA KIKWETE ALIOTAKA WAONGOZE CHAMA na SERIKALI ??? NAONA

KASHTUKA...
Mbona unatoa pumba namna hiyo? Dah ... yaani unatia aibu.
We nenda ka-copy stori za magazeti uje uzi-paste mtandaoni. At least hilo unaliweza.
 
Kama hawa ndo vijana wasomi ndani ya chama wanaongea upuu9i wa kiwango hiki ambao hata ubunge wameupata ki
agumashi baada ya bifu la Bashe na selelii na ndo wanaona ubunge ni kama kuwa asstnt God kuna tatizo zaidi ya tunavyofikiria

Usichokijua mtu wewe usiye na imani ni kuwa neema na rizki zote hutoka kwa Mwenye enzi Mungu aliye juu ya kila kitu, mwenye kugawa neema kubwa kubwa na zile ndogo ndogo...na huyo ahimidiwe, amina!

Hata wewe umepewa neema hii ya kuja kunishughulikia hapa kwa utashi wa Mungu, na kama Mungu akipenda atanifikisha 2015 na atanipa tena Ubunge kama alivyonipa 2010...na wachawi kama wewe mtafedheheka! Sikuwahi kumuomba mama Salma anisaidie na wala sijuani naye japokuwa ningetamani kuwa karibu naye kiasi cha kumuomba Ubunge ama deal yoyote ile kama unavyotamani wewe hapo ulipo...

Sikuingia kwenye siasa kwa kutumwa wala kwa kushauriwa na mtu yeyote yule kwa maslahi yake, mimi ni tofauti na hao wengine unaowaabudu wewe kwa kuwa tu wanakupa hela. Mimi nasimamia misingi ya haki na mambo ninayoyaamini na wala situmwi na mtu yeyote kufanya chochote...na huo ndiyo msingi wa heshima nilizopata kutoka kwa watu mbalimbali wenye akili na busara zao.

Mimi natumikia Ubunge wangu hii miaka mitano, n
we hata hunipigii kura sasa una madhara gani na hiyo fake analysis yako? wanaonipigia kura walinibeba jana na kuniimbia nyimbo za kishujaa za kikwetu na Nzega nzima imejaa jina na sifa zangu...hiyo inatosha kuendelea kukukera wewe na jamaa zako angalia Hans Cable TV ya Nzega ushuhudie nilivyoshangiliwa na kubebwa juu juu tena siyo kwa kununua vijana na kuwaambia wasukume gari, mimi nimebebwa juu juu bila kutegemea wala kupanga watu wafanye hivyo! Watu wanaona na kukubali kazi ya Mbunge wao
 
Mbona unatoa pumba namna hiyo? Dah ... yaani unatia aibu.
We nenda ka-copy stori za magazeti uje uzi-paste mtandaoni. At least hilo unaliweza.

The potential of the average person is like a huge ocean unsailed, a new continent unexplored, a

world of possibilities waiting to be released and channeled toward some great good.
 
The potential of the average person is like a huge ocean unsailed, a new continent unexplored, a

world of possibilities waiting to be released and channeled toward some great good.
tuandikie umeazima kwa nani hiyo nukuu yako? hata kanuni za usomi tu hujui...utahukumiwa kwa Plagiarism, ama hata hili kosa hulijui?
 
eti unajiita 'janjaweed' si ungejiita tu 'al-shabaab' tukaelewa moja...

at least linajulikana ni nick name.... we lako lipi mkuu???

uadilifu unaanzia chini mkuu, living a lie by itself disqualify anyone of ledership qualities let alone hizo mipasho na flipping unazofanya

na kuhusu Janjaweed au alshaabab, if you read books kidogo au general info utagundua wana similarities, so i am not very far from Alshaabab when it ocme to JF character

There are three kinds of leaders we need to avoid
flip-floppers
liars
shilole type (mipasho)
 
at least linajulikana ni nick name.... we lako lipi mkuu???

uadilifu unaanzia chini mkuu, living a lie by itself disqualify anyone of ledership qualities let alone hizo mipasho na flipping unazofanya

na kuhusu Janjaweed au alshaabab, if you read books kidogo au general info utagundua wana similarities, so i am not very far from Alshaabab when it ocme to JF character

There are three kinds of leaders we need to avoid
flip-floppers
liars
shilole type (mipasho)
Ungeandika kiswahili tu...kwa nini una-struggle namna hiyo kuandika kiingereza? Shida yote hiyo ya nini?
 
mh dr H Kigwangalla, nakupongeza kwa kujitokeza na kujibu baadhi ya hoja hapa jamvini. KEEP IT UP, natamani na vijana wenzio huko katika ccm ( mwigulu nchemba, january, bashe, lusinde 'kibajaji')wataiga huu mfano wako mzuri.
MH, kuna siku ililetwa habari hapa kuwa umekamatwa nzega ukigawa rushwa ya vitumbua na tsh 2000 kwa wajumbe, tulikusubiri sana hapa jf uje uthibitishe au kukanusha KIMYA!
na mpaka leo hatuujui ukweli ni upI mkuu,,
kwa kuwa leo upo hapa naomba ufafanuzi wako
 
Back
Top Bottom