Kigwangalla ampiga vijembe Bashe baada ya kumshinda uchaguzi wilayani Nzega

YEYE ni MJUMBE wapi ? Sasa HIVI AMECHANGANYIKIWA... Anahitaji zaidi ya pyschogist

kwasababu amevunda
Alitaka Kumwingiza Mkewe CCM-NEC na Mkewe ana kazi NZURI

ya UDAKTARI AMREF... Sasa Unaona Walikuwa Wanataka wale PESA ZA BURE

KIVULINI...

mimi hushindwa kumuelewa huyu kigwangalla na siasa hizi za kuchafuana maana nasikia ana hela nzuri pia ana elimu ya kutosha na mkewe ana kazi nzuri ya udaktari sasa anahangaika nini na siasa za ccm? hata hivyo nilimsikia kigwangalla akikanusha mkewe kugombea UNEC bali mkewe alishinda nafasi fulani kwenye umoja wa wanawake kule nzega, yeye kigwangalla ndiye aligombea nec akakatwa jina pamoja na bashe
 
Yeah, Hajielewi... Sasa Baada ya Jina kukatwa Anatangaza kwenye FB kuwa WAPINZANI WOOTE MACHO na

MASIKIO Yalikuwa DODOMA na ni IMANI yake CCM itashinda kwa NGUVU 2015; Upinzani Hauna lolote...

Halafu jana na leo anajenga MAKUNDI ndani ya CCM kuteuana ili watu Wenye UHUSIANO na MPINZANI

wake
Wasipate UJUMBE wa CCM-NEC; Haya anaweka MAKUNDI NDANI YA CCM... Badala ya kuwa kimya

na Kuonyesha HESHIMA iliyomponza aondolewe ni Mwaka Mmoja na Nusu Umebaki Uchaguzi wa Ndani ya

CCM
Kuchagua Wabunge Unaanza... Unadhani kwa sasa hivi JINA lake halipo; Sidhani MWENYEKITI

atamteua... NDIO HAO VIJANA KIKWETE ALIOTAKA WAONGOZE CHAMA na SERIKALI ??? NAONA

KASHTUKA...
dah mkuu inaonesha una mkataba wa kumshughulikia Kigwangala mbona umeshupaa namna hiyo? kigwangala hajawahi kuwa kambi yoyote ile na yeye amejipambanua kama mbunge anayefia nchi siyo huyo bwana wako Basha anayetumika vibaya na mafisadi
 
Ilikuwa yeye, Mkewe na Mdogo wake... Majina ya Mdogo wake na Mkewe hayakupita toka WILAYANI...

Nadhani wanajua kuna SIRI HUMO NDANI ya CCM-NEC kutakuwa na MALIPO MAZURI unakula Ukiwa KIVULINI

Sababu kila Mwana CCM Mashuhuru amejumuisha ndugu zao kwenye Ungwe ya kugombea U-CCM-NEC
 
huu ujinga na mipasho ya huyu mwanasiasa anayejiita msomi na kuwa na tabia kama shilole zinanikera sana
Inawezekana kaongea mipasho ongezea kwa kusema mipasho yenye ukweli, ameongea kama msomi na mwenye dira ya kukitakia chama mema, wengi mnasema vibaya kwa sababu mnachotaka ni migongano ndani ya CCM kwa faida yenu, BIG UP DR.Kigwangalla
Chama
Gongo la mboto DSM
 
Oh Yeah... Na Kijana amechezea neema... anakuwa MBWATUKAJI lakini inakuwa rahisi kusahau alikotoka...

NDIO MATATIZO YETU... Sasa BAHATI na NEEMA ikifungika ni MILANGO YOTE; alikuwa anadonyoa

WAPINZANI na
kuikera CCM bila kupinga MAHESABU... Ndio Ubaya wa SIASA zetu - UKIDONDOKA

CHALI ndio BASI tena... kuna stages NYINGI KURUDI kwenye SIASA... Unamkuta KIJANA anatembea

Barabarani anaongea MWENYEWE haujuni ni kwa nini na ELIMU YAKE...
Usichokijua mtu wewe usiye na imani ni kuwa neema na rizki zote hutoka kwa Mwenye enzi Mungu aliye juu ya kila kitu, mwenye kugawa neema kubwa kubwa na zile ndogo ndogo...na huyo ahimidiwe, amina!

Hata wewe umepewa neema hii ya kuja kunishughulikia hapa kwa utashi wa Mungu, na kama Mungu akipenda atanifikisha 2015 na atanipa tena Ubunge kama alivyonipa 2010...na wachawi kama wewe mtafedheheka! Sikuwahi kumuomba mama Salma anisaidie na wala sijuani naye japokuwa ningetamani kuwa karibu naye kiasi cha kumuomba Ubunge ama deal yoyote ile kama unavyotamani wewe hapo ulipo...

Sikuingia kwenye siasa kwa kutumwa wala kwa kushauriwa na mtu yeyote yule kwa maslahi yake, mimi ni tofauti na hao wengine unaowaabudu wewe kwa kuwa tu wanakupa hela. Mimi nasimamia misingi ya haki na mambo ninayoyaamini na wala situmwi na mtu yeyote kufanya chochote...na huo ndiyo msingi wa heshima nilizopata kutoka kwa watu mbalimbali wenye akili na busara zao.

Mimi natumikia Ubunge wangu hii miaka mitano, niacheni nifanye kazi yangu, uchaguzi ukitangazwa mje mjaribu tena bahati yenu...japokuwa najua ntawashinda tu kama nilivyowafanya jana kwenye kuweka Mwenyekiti wa CCM wilaya mpaka mkalia na kusaga meno na wengine kuzimia na kuongezewa dripu, japokuwa msihofu hatutowatenga wala kuwafanya mjisikie wanyonge ndani ya CCM Nzega, maana hatuna mpango wa kufanya hivyo. Sisi si kama ninyi na Mwenyekiti wenu mliyemnunulia gari ili awaunge mkono na yeye akapoteza kabisa objectivity akawa akifuata amelekezo yenu tu...sisi tutawakaribisha na hatutoendeleza makundi kama mlivyofanya ninyi maana tunajua tutawatumia kwenye kazi za nje ya chama ikifika mwaka 2015 wakati tukiwa tunapambana na wengine wa nje ya chama
 
dah mkuu inaonesha una mkataba wa kumshughulikia Kigwangala mbona umeshupaa namna hiyo? kigwangala hajawahi kuwa kambi yoyote ile na yeye amejipambanua kama mbunge anayefia nchi siyo huyo bwana wako Basha anayetumika vibaya na mafisadi

Angalia... Hapa tulikuwa hatumuongelei BASHE... Tulikuwa tunamuongelea KIGANGWALLA na alivyo na

BAHATI na SIMJUI BASHE, na sina HAJA ya kumjua BASHE wala KIGANGWALLA... lakini ninavyoona na

nivyosoma
Wanadamu saa nyingine hatuna NEEMA na RIZIKI... What the President have done to him to make

what he is right now is a splendid WORK; Sidhani kama Sio Rais na familia yake Kigangwalla angekuwa

MBUNGE frankly Speaking
Sasa Mimi ningekuwa yeye nisingekuwa nafanya vitu vingine vinavyopingana na

SERIKALI YA CHAMA CHANGU
Ningekuwa MKIMYA; Mfano Mzuri Benjamin MKapa... alikuwa Mkomunist

wakati Nyerere alikuwa Msocialist alijua atapata nini... akabeba URAIS... ONA Nyerere alipokuwa... wakagana

Majumba ya Serikali; Viwanda na KUGAWA
GOLD MINES kama Karanga kwa WAZUNGU... lakini alionyesha

SHUKRANI YA HALI YA JUU KWA NYERERE...
THAT's HOW LIFE IS...
 
Inawezekana kaongea mipasho ongezea kwa kusema mipasho yenye ukweli, ameongea kama msomi na mwenye dira ya kukitakia chama mema, wengi mnasema vibaya kwa sababu mnachotaka ni migongano ndani ya CCM kwa faida yenu, BIG UP DR.Kigwangalla
Chama
Gongo la mboto DSM
ahsante sana kamanda, ulichosema ni kweli tupu. mimi sikuwahi kuwa na mpango huo na kila siku nimekuwa nikiwaambia viongozi wangu wa chama na jumuiya zake kuwa wao wafanye haki tupu wala wasinisaidie siasa zangu, mimi ntazifanya mwenyewe na kama itatokea nikashindwa kihalali sintonung'unika wala kukonda maana najua kwenye kugombea kuna matokea ya aina mbili tu, kushinda na ama kushindwa!
 
Angalia... Hapa tulikuwa hatumuongelei BASHE... Tulikuwa tunamuongelea KIGANGWALLA na alivyo na

BAHATI na SIMJUI BASHE, na sina HAJA ya kumjua BASHE wala KIGANGWALLA... lakini ninavyoona na

nivyosoma
Wanadamu saa nyingine hatuna NEEMA na RIZIKI... What the President have done to him to make

what he is right now is a splendid WORK; Sidhani kama Sio Rais na familia yake Kigangwalla angekuwa

MBUNGE frankly Speaking
Sasa Mimi ningekuwa yeye nisingekuwa nafanya vitu vingine vinavyopingana na

SERIKALI YA CHAMA CHANGU
Ningekuwa MKIMYA; Mfano Mzuri Benjamin MKapa... alikuwa Mkomunist

wakati Nyerere alikuwa Msocialist alijua atapata nini... akabeba URAIS... ONA Nyerere alipokuwa... wakagana

Majumba ya Serikali; Viwanda na KUGAWA
GOLD MINES kama Karanga kwa WAZUNGU... lakini alionyesha

SHUKRANI YA HALI YA JUU KWA NYERERE...
THAT's HOW LIFE IS...

Usiniharibie jina langu, naomba u-spell vizuri, naitwa 'Kigwangalla'. Unaweza kumdanganya mtoto tu kuwa humjui huyo uliyemtaja...maana maneno yako na jinsi ulivyochangia mjadala huu na mingine yote inayonihusu vinaeleza wazi kuwa wewe ni nani...endelea kutumika tu kaka...kwanza hauna sababu ya kukaa kwenye thread hii moja muda wote huo toka uchangie mara ya kwanza mpaka sasa hivi, na michango yako yote ikawa negative...nimekufuatilia kwa muda mrefu na kujua kuwa upo hapa kwa ajili ya kazi maalum...BASI ENDELEA TU

watu wenye kama akina MM Mwanakijiji, Pasco, Mkandara hawawezi kufanya kama wewe...jifunze toka kwao sasa ili uje kuwa mchagngiaji mwenye kuheshimika badala ya kidampa kuwadi wa marafiki zako mafisadi
 
Kingwala alimalizaje pale Muhimbili? Mhh, nikisoma mipasho yake na nikiangalia Ma dr. (MD) Kingwala naona kama alimaliza community development kwani huko hii mipasho ni ya kawaida.
 
wewe sijui ndiyo ulisoma kozi gani sasa, maana hata jina langu tu limekushinda ku-spell, hoja yako yenyewe ya kitoto tu...mere fallacy!
 
Usichokijua mtu wewe usiye na imani ni kuwa neema na rizki zote hutoka kwa Mwenye enzi Mungu aliye juu ya kila kitu, mwenye kugawa neema kubwa kubwa na zile ndogo ndogo...na huyo ahimidiwe, amina!

Hata wewe umepewa neema hii ya kuja kunishughulikia hapa kwa utashi wa Mungu, na kama Mungu akipenda atanifikisha 2015 na atanipa tena Ubunge kama alivyonipa 2010...na wachawi kama wewe mtafedheheka! Sikuwahi kumuomba mama Salma anisaidie na wala sijuani naye japokuwa ningetamani kuwa karibu naye kiasi cha kumuomba Ubunge ama deal yoyote ile kama unavyotamani wewe hapo ulipo...

Sikuingia kwenye siasa kwa kutumwa wala kwa kushauriwa na mtu yeyote yule kwa maslahi yake, mimi ni tofauti na hao wengine unaowaabudu wewe kwa kuwa tu wanakupa hela. Mimi nasimamia misingi ya haki na mambo ninayoyaamini na wala situmwi na mtu yeyote kufanya chochote...na huo ndiyo msingi wa heshima nilizopata kutoka kwa watu mbalimbali wenye akili na busara zao.

Mimi natumikia Ubunge wangu hii miaka mitano, niacheni nifanye kazi yangu, uchaguzi ukitangazwa mje mjaribu tena bahati yenu...japokuwa najua ntawashinda tu kama nilivyowafanya jana kwenye kuweka Mwenyekiti wa CCM wilaya mpaka mkalia na kusaga meno na wengine kuzimia na kuongezewa dripu, japokuwa msihofu hatutowatenga wala kuwafanya mjisikie wanyonge ndani ya CCM Nzega, maana hatuna mpango wa kufanya hivyo. Sisi si kama ninyi na Mwenyekiti wenu mliyemnunulia gari ili awaunge mkono na yeye akapoteza kabisa objectivity akawa akifuata amelekezo yenu tu...sisi tutawakaribisha na hatutoendeleza makundi kama mlivyofanya ninyi maana tunajua tutawatumia kwenye kazi za nje ya chama ikifika mwaka 2015 wakati tukiwa tunapambana na wengine wa nje ya chama

Unaona MAKOSA yako Hapa wakati tunakuongelea WEWE hatukutusi hata KIDOGO... Sasa

WEWE umekuja na
NENO LA WACHAWI... Sijui Umefikiriaje MPAKA ukachagua WACHAWI...

Inasikitisha kweli pamoja na kuweka
kisomo chako hapo chini bado Una aamini MAMBO YA

KISHIRIKINA; kweli tutaendelea ?
na wewe ni KIJANA ? Sasa MABADILIKO GANI YA KWELI

YATALETWA NA WASHIRIKINA ? THAT's SO DAMN LOW..
.

INAZIDI KUNIPA UWALAKINI HASWA KWA WANASIASA WA KITANZANIA WANAOJIITA

VIJANA; Bado Mna imani
KUTU na PRIMITIVE... Dr. Hamisi Kigwangalla, MD, MPH, MBA ????

Ilikuwa yeye, Mkewe na Mdogo wake... Majina ya Mdogo wake na Mkewe hayakupita toka WILAYANI...

Nadhani wanajua kuna SIRI HUMO NDANI ya CCM-NEC kutakuwa na MALIPO MAZURI unakula Ukiwa KIVULINI

Sababu kila Mwana CCM Mashuhuru amejumuisha ndugu zao kwenye Ungwe ya kugombea U-CCM-NEC
hahahahaaa mke wangu hakugombea NEC, aligombea Baraza Kuu la UWT wilaya na Mkutano Mkuu wa UWT Taifa na alishinda vyeo vyote pamoja na kampeni chafu zako na wafuasi wako, acha uongo sheikh...na hakuna mdogo wangu aliyegombea NEC
 
Inawezekana kaongea mipasho ongezea kwa kusema mipasho yenye ukweli, ameongea kama msomi na mwenye dira ya kukitakia chama mema, wengi mnasema vibaya kwa sababu mnachotaka ni migongano ndani ya CCM kwa faida yenu, BIG UP DR.Kigwangalla
Chama
Gongo la mboto DSM
Mipasho ni mipasho tu, hata hadija kopa husema ukweli

if our leaders wanaongea mipasho na sisi kuwashabikia, then we are lost dogs...........

Uongozi unaendana na utashi, heshima, na maarifa.... haijawahi kutokea popote mipasho ikawa na maarifa, utashi au heshima achilia mbali hekima

POLENI SANA
 
Yeah, Hajielewi... Sasa Baada ya Jina kukatwa Anatangaza kwenye FB kuwa WAPINZANI WOOTE MACHO na

MASIKIO Yalikuwa DODOMA na ni IMANI yake CCM itashinda kwa NGUVU 2015; Upinzani Hauna lolote...

Halafu jana na leo anajenga MAKUNDI ndani ya CCM kuteuana ili watu Wenye UHUSIANO na MPINZANI

wake
Wasipate UJUMBE wa CCM-NEC; Haya anaweka MAKUNDI NDANI YA CCM... Badala ya kuwa kimya

na Kuonyesha HESHIMA iliyomponza aondolewe ni Mwaka Mmoja na Nusu Umebaki Uchaguzi wa Ndani ya

CCM
Kuchagua Wabunge Unaanza... Unadhani kwa sasa hivi JINA lake halipo; Sidhani MWENYEKITI

atamteua... NDIO HAO VIJANA KIKWETE ALIOTAKA WAONGOZE CHAMA na SERIKALI ??? NAONA

KASHTUKA...

Mkuu

ukiona kijana anahangaika mara natangaza, mara nafanya hivi, mara mnasubiria nini nimebadili, mara kazimia, mara vitumbua, mara bastola nk. ujue hapo hakuna quality

Unfortunately
 
Kama hawa ndo vijana wasomi ndani ya chama wanaongea upuu9i wa kiwango hiki ambao hata ubunge wameupata ki
agumashi baada ya bifu la Bashe na selelii na ndo wanaona ubunge ni kama kuwa asstnt God kuna tatizo zaidi ya tunavyofikiria

Usichokijua mtu wewe usiye na imani ni kuwa neema na rizki zote hutoka kwa Mwenye enzi Mungu aliye juu ya kila kitu, mwenye kugawa neema kubwa kubwa na zile ndogo ndogo...na huyo ahimidiwe, amina!

Hata wewe umepewa neema hii ya kuja kunishughulikia hapa kwa utashi wa Mungu, na kama Mungu akipenda atanifikisha 2015 na atanipa tena Ubunge kama alivyonipa 2010...na wachawi kama wewe mtafedheheka! Sikuwahi kumuomba mama Salma anisaidie na wala sijuani naye japokuwa ningetamani kuwa karibu naye kiasi cha kumuomba Ubunge ama deal yoyote ile kama unavyotamani wewe hapo ulipo...

Sikuingia kwenye siasa kwa kutumwa wala kwa kushauriwa na mtu yeyote yule kwa maslahi yake, mimi ni tofauti na hao wengine unaowaabudu wewe kwa kuwa tu wanakupa hela. Mimi nasimamia misingi ya haki na mambo ninayoyaamini na wala situmwi na mtu yeyote kufanya chochote...na huo ndiyo msingi wa heshima nilizopata kutoka kwa watu mbalimbali wenye akili na busara zao.

Mimi natumikia Ubunge wangu hii miaka mitano, n
 
Mkuu

ukiona kijana anahangaika mara natangaza, mara nafanya hivi, mara mnasubiria nini nimebadili, mara kazimia, mara vitumbua, mara bastola nk. ujue hapo hakuna quality

Unfortunately
wale wale...hakuna mwenye hoja hapa ya maana, acha nilale tu sasa
 
Naona mmjipanga vijana wa aliyewatuma hapa kwa kazi moja tu, kunichafua, kisa nini mmepewa Ipad za bure...bahati mbaya sana aliyewapeni hizo gadgets amekula hasara maana nyote mmejaa fallacy, hamna hoja na wala uwezo wa kujifunza chochote kwa kuwa na access na information kupitia vyombo hivyo... tatizo la JF ni hilo watu mnajificha nyuma ya alias
 
Back
Top Bottom