KIGWANGALA akanusha kukamatwa, Kumbe BASHE ndiye aliyekamtwa!

NIMEITOA HUKO FACEBOOK,
Kwa maandishi yake mwenyewe ansema:
"Sijakamatwa mimi wala Mke wangu mpenzi, na wala hatujahojiwa na TAKUKURU, na sijui ofisi ya TAKUKURU ikoje! Hizo ni fitna za magazeti yanayotumiwa na wanasiasa uchwara kwa kulipwa vimlungula kidogo. Nashukuru vyombo vya habari vimenipa umaarufu wa kisiasa kidogo, lakini huu wa kijinga namna hii siuhitaji! Aliyekamatwa akigawa Chai na Maandazi ni Hussein Bashe na hivi tunavyoongea mgombea na mpambe wake mkuu wa kike "

Updates inasemekana ni maadazi na sio vitumbua
dsc04614.jpg

Amani+2006+027.JPG

Arudi kwao akawape maandazi wale wanaokufa kwa njaa miaka yote ya vita. Ni lazima hii tabia ya kuwadanganya watanzania kwa ubwabwa na chai iishe. Dr Kazana wewe nakuaminia.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom