KIGWANGALA akanusha kukamatwa, Kumbe BASHE ndiye aliyekamtwa!

hivi vitumbua mbona havina amira? au ni vya unga wa mahindi?? Tabora kwa vitumbua hodari unaweza kupata mke kwa vitumbua tu sembuse kura?? chezea ccm wewe, ila ni aibu sana ha ha ha nimecheka sana
 
halafu jf jamani kuna mambo yaani sijui nani kaniambia nifungue uzi huu nimecheka sana mpka boss wangu akafikiri nina tatizo akaja akaniuliza kama niko sawa dah si unajua hawa ngozi nyeupe kucheka kwao ni kwa msimu sio kucheka cheka hasa officin yaani mpka nimeona aibu, watu kweli humu JF ni full comedian lol
 
Hawa dawa kuwawekea sumu tu kwenye hivyo vitumbuwa au pilau, vifo vya watu wa namna hii ni faida kubwa kwa Taifa.
 
Ngozi nyeupe au Pinki?
 
Hawa dawa kuwawekea sumu tu kwenye hivyo vitumbuwa au pilau, vifo vya watu wa namna hii ni faida kubwa kwa Taifa.

Mkuu Matola punguza hasira tutafika tu wataelimika kupitia M4C!
 
Last edited by a moderator:
Hivi Vitumbua vya Bashe vipo Sharo sana vile vya Dr. Kingwangala ndio Mwake mwake yani Ngoja wadau waliokula walete Picha.
 
Dah! Mkuu Hivyo Vitumbua Vimetulia Mbaya? Ila CCM wametuchoka Jamani. Yaani Mnahonga VITUMBUA dah

Sasa wahonge nini wakati watu wao ndio hupenda hongo za aina hii pamoja na kofia na ndio maana miezi kibao iliyopita uwanja wa CCM Kirumba Rais alikuwa anahutubia walichofanya ni kutangaza kuna ng,ombe 75 wamechinjwa kwa ajili ya watu, uwanja ulijaa mwisho siku watu waliondoka na njaa
 
Kigwangwala anasema chai na maandazi na Bashe chai na vitumbua, kwa uzoefu wangu wa Nzega, aliyehonga vitumbua ndiye aliyetoa rushwa kutokana na kuwa vitumbua vinapendwa sana Nzega...
 
Haya haya kumekucha kila uchaguzi wa ccm na zama zake za aina ya chakula
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom