Kigwa atamani kuishi maisha aliyoishi Mandela

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Haya makubwa jamani. Really unatamani?
Unaweza kwenda segerea hata one week? Source:. Fb page yake
 
Tamko la kwanza bendera nusu mlingoti siku tatu.

Na nimemuomba yule aliyenihonga zile suti 5 zamani, aniletee spesho ya msiba plus mawani

Sasa ww kanunue hapo unapotaka kununua, hutaruhusiwa kuingia msibani, kumbuka wawakilishi wa mataifa ya nje watakuba kibao.

Umeshatoa tamko kuhusiana na msiba? Tunaenda lini bondeni? Naenda kwa eve collection kutengeneza vazi
 
Back
Top Bottom