Kigugumizi cha nini kuhusu katiba mpya?

tanzanitemusiba

Senior Member
Nov 2, 2018
137
225
Pamoja na Bunge LA katiba kama litapitisha katiba mpya bado Mh... wetu akaweka sahihi yake bado haitakuwa katiba halali HADI WATANZANIA WOTE TUIPIGIE KURA.

Ktk kura za wananchi zipo zitakazo sema NDIO na nyingine HAPANA swiswiemu mkiamua kuwa ktk upande Wa hapana isiwepo au ndio iwepo bado mtashinda tu sioni sababu ya nyinyi kuwa na mashaka hivi.mnaogopa nn ktk jambo LA kheri??

Kama mnapata mshaka kuhusu gharama wekeni kodi maalumu ktk muda Wa maongezi hata kwa kipindi cha miezi sita tu mtapa Pesa ya kutosha ya kufanyia zoezi hili.

Au wananchi washiriki ktk Bunge LA katiba bure bila kulipwa chochote naamini watu wanao litakia mema taifa letu watajitolea tu bila malipo

Mambo mazuri anayoyafanya MH.. wetu yasipokuwepo ktk katiba siku atakapomaliza muda wake tunaludi tulikotoka hizi sheria zote atakazoziacha ZITABADILISHWA KAMA YEYE ALIVYOZIBADILISHA ZA WEZIE WALIOPITA

Maamuzi ya wengi n maamuzi ya mungu kunalawama nyingine na makerere mnajitakia bure bila sababu

Kelele za watu kudai katiba hazitaisha Leo wala kesho hadi Sikh watakapopata jambo lao

Mungu awabariki sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom