Kigugumizi cha Naibu speaker leo............ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigugumizi cha Naibu speaker leo............

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zipuwawa, Feb 8, 2012.

 1. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Muda huu Naibu speaker amehairisha Bunge mpaka kesho lakini hoja ya Mgomo wa Wa Dr bado unaendelea kupigwa danadana leo ni Mara ya sita wabunge kuja na hoja hii lakini Makinda na Ndugai wameshindwa kabisa kulitolea maamuzi . kwa upande wangu kwa kazi za Bunge sioni haja ya kuwa na Bunge kwani mambo ya dharula kama haja si madogo hata Naibu Speaker anakili haya je kama Kesho kutwa ni mwisho wa Bunge kumaliza vikao vyake.
  Je najiuliza wanatuwakilisha nini Kule Bungeni? hapa naamini swala la viongozi wetu kutokuwa na uwezo wa kutoa maamuzi ni tatizo linalotusulubu Watanzania.........Tuulizane leo wamemaliza kazi mapema na kwenda semina sioni haja ya kuwa na wabunge....Tumewapa haki ya kutuwakilisha lakini wanatuona wendawazimu.....
  Naunga mkono Mgomo wa Madaktari japo naweka maisha yangu katika rehani.
   
 2. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #2
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Tabu kweli kweli
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kimsingi Ngugai kakubari jambo hilo kujadiliwa lakini kasema kanuni za bunge zinahitaji kwamba kabla ya kufanya hivyo lazima wapate ushauri wa kamati ya uongozi. Amewaambia wabunge wa kamati ya uongozi wakutane sasa hivi chemba kuamua pamoja na spika Makinda.
   
 4. l

  luckman JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  wasaniiiii hawa!
   
 5. Mzee Wa Rubisi

  Mzee Wa Rubisi JF-Expert Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,754
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Tabia za nchi masikini ndo kama hii.Viongozi awapendi kujadili matatizo wa wananchi wao,Tumbo mbele kwa kila kitu
   
 6. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #6
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kwa waliomsikiliza Ndugai leo amesema kwamba pamoja na lengo la kusubiri ushauri wa kamati ya bunge inayozungumza na madaktari mambo katika sekta ya afya si mazuri hivyo bunge linaweza kuanza kujadili lakini kwa kufuata kanuni. Kanuni hiyo inataka spika apate ushauri wa kamati ya uongozi ya bunge na jibu amesema atalitoa mchana huu.
   
 7. Alfred Daud Pigangoma

  Alfred Daud Pigangoma Verified User

  #7
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 30, 2009
  Messages: 1,778
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Tatizo la kutawaliwa na vilaza!
   
 8. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #8
  Feb 8, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,229
  Likes Received: 448
  Trophy Points: 180
  nawe acha umbumbumbu, si umesikia NDUGAI Kakubali hoja kujadiliwa, hivi unafikiri wanapokubali hoja kujadiliwa inakuwa hapohapo???

  ndugu yangu kukubaliwa hoja kujadiliwa inabidi wabunge wapate muda wa kujiandaa, nw wanaenda kukusanya kashablasha nadhan kesho itajadiliwa bungeni
   
 9. omujubi

  omujubi JF-Expert Member

  #9
  Feb 8, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 4,144
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  wanasubiri maelekezo kutoka kwa 'mabosi wao'. Hii hali ni muhimu kutokea kwa sasa ili huku tunakoelekea tujue kuwa ile theory ya mihimili mitatu (Serikali, Mahakama na Bunge) kuwa kwa haitumiki kwa Tanzania bali mhimili ni mmoja tu - IKULU!
   
 10. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #10
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Ndugai mwenyewe kwa kauli yake kasema kwa sasa shauri hili ni lazima lijadiliwe na bunge. Bila shaka ndio mapendekezo atakayopeleka kwenye kamati ya uongozi ya bunge. Amesema sio kawaida hata kidogo kwa jambo moja kusimamisha wabunge tofauti 6 kuomba mjadala. Kasema kiti cha spika kimeelemewa na maombi hayo hivyo mjadala haukwepeki.
   
 11. Elungata

  Elungata JF-Expert Member

  #11
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 28,027
  Likes Received: 8,517
  Trophy Points: 280
  kwahiyo wabunge wakijadili ndo hiyo mishahara ya milioni tatu kwa madaktari itapatikana ama hio ni nafasi yao kujipandisha chati kisiasa?
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nimemsikiliza kwa makini sana Ndugai hakika kwa mara ya kwanza nimemkubari ni jembe la bunge.
   
 13. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #13
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Unaposema umbumbumbu unafikiri ni lini watajadili? Siku ya mwisho ya ijumaa hapa kilichotumika ni noble lier haiwezekani useme akubali then ahirishe mpaka kesho bunge leo ni mara ya 6 Wabunge kuja na hoja hii kama amekubali nini kilichofanya wasijadiliane kwenye kamati kabla ni mara ya tatu Ndugai anakutana nalo hili mara ya kwanza alisema mbunge aliyetoa hoja akusema aungwe mkono ndio maana akaipiga chini huu ni mchezo mchafu tu wa Serikali kukatalia hoja isijadiliwe.......
  Kifupi waweza kuwa wewe Mbumbumbu kwa kutojua unachosema.
   
 14. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #14
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hili wanalijua ndio maana sasa hivi wamekuwa wakibadilishana na Makinda ili kuogopa kulaumiwa.......ni mara ya ngapi leo inamaana wabunge wanaokuja na hoja hizo wao ndio wenye uchungu? Huuu ni mchezo wa kuigiza tu ngoja uone kesho....ikitoka hapa wanajadili Ijumaa kidogo na kuahirisha bunge hivyo hoja kubaki hewani.
   
 15. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #15
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kuna kila dalili kwa bunge la leo kwamba hawatasubiri tena kamati ya bunge inayozungumza na madaktari. lengo lilikuwa zuri kusubiri maoni ya pande zote mbili baada ya serikali kusema bungeni kupitia waziri wa afya. Spika alisema kujadili jambo bungeni kwa kusikia upande mmoja bunge linaweza kushindwa kuishauri na kuisimamia serikali kwa ubora unaohitajika. Bunge likatuma kamati kwenda kuwasikiliza madaktari ofisi za bunge Dar.
   
 16. Mbutunanga

  Mbutunanga Senior Member

  #16
  Feb 8, 2012
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 183
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Wanaenda kwenye semina kuhusu hali ya uchumi ( inawagusa sana hasa baada ya posho ya 200000 kusemekana haitalipwa).
   
 17. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #17
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  unapenda vita kuliko mazungumzo.
   
 18. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #18
  Feb 8, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  humjui ni mnafiki tu
   
 19. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #19
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hivyo ulitaka bunge lijadili hotuba ya waziri wa afya bila kupata maelezo ya madaktari? Wewe hufai hata kupatanisha mke na mume!!!!!!!!!
   
 20. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #20
  Feb 8, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Binadamu hawezi kuwa mnafiki kwa kila jambo linalomtoka mdomoni. Unafiki una lengo maalum kama hakuna lengo la unafiki binadamu ni mwema. Sijaona unafiki wa Ndugai katika agenda ya namna ya kufikia suluhu ya mgogoro wa madaktari.
   
Loading...