KIgugumizi cha JK | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KIgugumizi cha JK

Discussion in 'Celebrities Forum' started by ngoshwe, May 6, 2010.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Mwenzenu napata tabu sana ninaposikiliza hotuba nyingi za JK anapota kwa kiingereza au pale anapongeza kwa akihojiwa kiingereza. Kwa kiswahili anaonekana yupo "smart" na spidi ya ajabu sana. Lakini inapofika kwa kimombo inakuwa ni kama vile anajiumauma, anakosa raha na pia sauti yake ugeuka na kuwa ya chini, uso uonyesha unyonge na kauli huwa kama hazina msisisto sana kana kwamba upeo wa kujua mambo mengi anayohubiri kama kiongozi wa nchi bado ni utata tupu....

  Hii ni sehemu tu ya tofauti ya kuongea kwake kimombo kati yake na baadhi ya viongozi waliopita wa taifa ili:

  JK: Kimombo:

  Anakuwa mnyonge na mwenye kukoseakosea au kurejea rejea maneno hata kwenye hotuba ya kuandikiwa:  JK: Kiswahili (Mtanshani na mwenye furaha ya kweli):

  #!

  Mzee Kambarage (R.I.P)

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. Bhbm

  Bhbm JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2010
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 716
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  sasa hapo unataka kumaanisha nini? hehehehe miye simo, kwamba jamaa lugha ya bibi mzozo ama?
   
 3. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,374
  Likes Received: 3,138
  Trophy Points: 280
  mwacheni amalize muda wake salama.................alilia sana hii nafasi ila mwenyewe anajua fika kuwa haiwezi japo wale wadanganyka mapopompo bado ni 60% kwa hiyo atapata tena urais.............tehetehe..teeeeeeeee
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  May 6, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Swali la kizushi: Ulishawahi kumsikia Mama Salma kikwete akiongea Kiingereza?
   
 5. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #5
  May 6, 2010
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Hakuna ajabu yoyote, naamini hata wewe ni hivyo hivyo- you must be extra careful when you talk other people's language. Kiingereza si lugha ya asili.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #6
  May 6, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Jana mlimani city alisema hivi........"ku empower" ....the akashituka mzima mzima akarudia "to empower"
  Kiswahili lugha ya taifa.... anakipenda sana naona kiko damuni.
   
 7. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #7
  May 6, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  sasa kama Kinampa shida kwanini asiongee Kiswahili akaweka mkalimani ambae yuko vyema katika Lugha hiyo ?
  kama Kiswahili kiko Damun i ajizuie Lugha za kizungu, msikilize Julius Nyerere anavyotoririka, msikilize anavyoongea kwa misisitizo, msikilizeni...huyu pamoja kwamba kujua Kingereza ama kutokujua sitija katika uongozi wa taifa huyu mimi kila mara nadoubt uwezo wake wakufikiri haraka mambo ya msingi, na sasa ukichanganya na ubumbumbu wake katika Lugha za kigeni ndo kabisa inamtesa.
   
 8. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #8
  May 6, 2010
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,499
  Likes Received: 1,080
  Trophy Points: 280
  Mkuu unamnenea hayo mkuu wa kaya!! taratibu bwana....tehe tehe!
   
 9. B

  Bulesi JF-Expert Member

  #9
  May 6, 2010
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 6,447
  Likes Received: 414
  Trophy Points: 180
  Afadhali angekuwa anazungumza kikwere halafu mkalimani anatafsiri!!
   
 10. T

  Tom JF-Expert Member

  #10
  May 7, 2010
  Joined: May 14, 2007
  Messages: 472
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Angetuletea maisha bora kweli, ingeonyesha mkuu mambo anayaweza na kigugumizi si kitu wala.
   
 11. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #11
  May 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Nafikiri uwezo wake wa kujenga hoja na uelewa wake wa mambo kwa ujumla ni tatizo, lugha ni sehemu tu ya tatizo hilo, akitaka aongee hata kikwao mradi anachoongea kiwe kitu cha msingi. Naamini Nyerere aligundua hilo mapema sana wakati akiwa kijana.
   
 12. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #12
  May 7, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Mkwere ni kilaza, hilo liko wazi. Ligi za mchangani ndio anaweza, audience kama ya juzi Diamond Jubilee and the likes ndo size yake. Kwny jumuiya ya kimataifa hachelewi kutuvua nguo kama Taifa, maana yy ndio kioo!
   
 13. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #13
  May 7, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  JF members we are letting ourselves down by analysisng JKs ability to speak in fluent English,lets analyze his ability to lead.Watanzania walidanganywa kwa kauli mbiu tamu tamu za maisha bora kila mtanzania,kilimo kwanza,wakati mkulima ni wa mwisho katika status qou ya kiu tanzania,ndo maana enzi niko shule mtu asiyejua jambo anaitwa mshamba.
  JK ameshindwa kukuza uchumi inflation aliyoacha mkapa,jk hajawaeza kuitunza na imezidi kuwa mbaya ,he has failed us a citizens of this nation,tuangalie swala zima la TUGHE ,wafanyakazi wanamadai halisi,ameenda kuitisha mkutano wa Wazee,ukicheki tv karibuni wote walikuwa unemployed members of CCM,au waajiriwa wa chama,halafu anawaita wazee wa Dar,Jee tumeliona hili.kwa nini hakuita wataalam wa Chuo kikukuu,wafanyabiashara,na cross cutting members of dar,hoja ya tughe ni ya watu waliopo kazini yeye anaitisha audience ya wazee,,:(
  swala la Kingereza ni ukoloni mambo leo.mimi najua wachina ,warusi ambao wako fluent na kingereza na wote wamesoma undergraduate degrees in uk,usa and canada,lakini ktk interview wanaongea kirusi,kichina etc,jukumu la kutranslate ni la mtoa interview.
  kujua english ni muhimu lakini isiwe kigezo cha kumpima JK kutuongoza tumpime kwa Matokeo ya miaka 5 je uchumi umemabaki vipi,na je angekuwa mkapa uchumi ungekuwaje?
   
 14. N

  Nyaturu Member

  #14
  May 7, 2010
  Joined: Feb 26, 2010
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Viongozi wangapi wa taifa letu leo wanazungumza Kiingereza vizuri kuliko Kikwete?
   
 15. o

  obseva JF-Expert Member

  #15
  May 7, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 80
  Kimsingi kumhukumu mtu kwa sababu ya lugha ambayo sio asili yake ni upunguani na uvivu wa kufikiri. Wapo watu wanao weza kutafsiri lughaa.
  Jambo la muhimu nim kuangaliautendaji wake ambao hasa unatia mashaka. Badom Mh Kikwete anawaza Misaada na Uwekezaji toka nje, enyi watu naninaliyewaloga eti mtu atoke ulaya aje awekeze TZ kwa manufaa ya waTZ?.
  Nahisi viongozi wetu wanasemakuwavutia wazungu kwasababu hawana utashi wao wenyeew nini wafanye? Kama mlimsikiliza Mkapa haamini kama uwekezaji wa nje na misaada unaweza kuokoa uchumi wataifa; je kwanini rais wake anamawazo tofauti sana hawashauriani?.
   
 16. Companero

  Companero Platinum Member

  #16
  May 7, 2010
  Joined: Jul 12, 2008
  Messages: 5,475
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Vigugumizi vyetu ni matokeo ya viongozi wetu kuendekeza sera ndumilakuwili ya lugha - the chickens are coming home to roost!
   
 17. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #17
  May 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hapa kwa mama usiguse tupaache kama palivyo :confused2:
   
 18. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #18
  May 7, 2010
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  HATUCHEKANI kwenye LINGUA FRANCA BIN PIGIN NA CREOLE
   
 19. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #19
  May 7, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  hahaha hii imenifurahisha sana inaonyesha ni jinsi gani anapenda lugha yake ya Kiswahili
   
 20. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #20
  May 7, 2010
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Siko kosa lake

  Muda mwingi baada ya chuo ameutuimia kwenye chama..

  kule ni mipasho tu..so lugha ni ishu..

  sasa sijui wakati yupo pale foreign ilikuwaje..

  ndiyo mjomba wetu lakini
   
Loading...