Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,892
- 32,308
CHADEMA wasijifiche kwenye kichaka kwamba Jamuhuri imeweka Wabunge-19 haramu Bungeni. Ili kupata majibu kwanini Wabunge-19 wako Bungeni CDM pia wanapaswa kumalizana nao ndani ya chama chao.Km wamefukuzwa na wamekata rufaa tunadeal na kufukuzwa kwanza zen rufaa ikitoka wameshinda wanarudi bungeni
Tulia anatufanya tu watu wajinga na hawajui sheria
Tunaichukia chadema ila chadema inatumia akili sana ktk baadhi ya mambo moja wapo ni hili
Tangu November 2020 hadi leo wanashindwa kumalizana wafukuzeni kwanza.