Kigoma yakombolewa kutoka mikononi mwa mafisadi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigoma yakombolewa kutoka mikononi mwa mafisadi.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MTOKAJASHO, Nov 1, 2010.

 1. M

  MTOKAJASHO Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuanzia kigoma kaskazini sasa ni Kisalu, kibondo na kigoma mjini yaenda mikononi mwa the so called upinzani (wanaharakati wa maendeleo)
   
 2. Utotole

  Utotole JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,663
  Likes Received: 2,568
  Trophy Points: 280
  Tupe data kamili kiongozi!!
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,291
  Likes Received: 439
  Trophy Points: 180
  It is too early to call "upinzani", you may need to edit to read "chama tawala"
   
 4. SILENT WHISPER

  SILENT WHISPER JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 26, 2009
  Messages: 2,225
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  well said mkuu...! Kiwete anaweza kushindwa...!
   
 5. M

  Mwikimbi JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,735
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Kigoma mjini kashinda serukamba, ingawa madiwani ni wengi chadema
   
 6. C

  Consultant JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 3,733
  Likes Received: 2,035
  Trophy Points: 280
  Unaweza kutuwekea hapa data mkuu?
   
Loading...