Kibirizi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2011
- 604
- 146
Kumbe wanaosababisha foleni dar ni sisi Waha yaani katika msimu huu wa sikukuu wachrismas na mwaka mpya viunga vingi vya Kigoma vina msongamano wa magari pamoja na watu mpaka kero. Na nimewasiliana na jamaa yangu wa dar anasema msongamano umepungua Dar. Nashidwa kuupload picha naomba mnielekeze ili niweke picha.