Kigoma yakera kwa foleni za magari

Kibirizi

JF-Expert Member
Feb 19, 2011
604
146
Kumbe wanaosababisha foleni dar ni sisi Waha yaani katika msimu huu wa sikukuu wachrismas na mwaka mpya viunga vingi vya Kigoma vina msongamano wa magari pamoja na watu mpaka kero. Na nimewasiliana na jamaa yangu wa dar anasema msongamano umepungua Dar. Nashidwa kuupload picha naomba mnielekeze ili niweke picha.
 
Hahahahhaha hayo magari labda ya kwenye yadi ya kibo...au ya bela. lakini tatizo kigoma mna barabara moja. nalo ni tatizo lazima muone foleni
 
kumbe waha ni wengi dar?......nakama wameanza kurudi kwao bas huo mkoa utaendelea sana
 
Japokuwa kuna main barabara moja (Mjini-thru Mwanga to Ujiji) Kigoma bado hakuna''foleni" kaka
 
kigoma kuwa na foleni maajabu ya dunia , au sijakuelewa ? sema labda boda boda na vijiwe vya kahawa ndiyo vingi
 
Back
Top Bottom