KIGOMA : Wazee wa Mwandiha wamjadili Zitto, wasema ni mtovu wa Nidhamu

PERFECT

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
361
131
Katika hali isiyoyatajiwa, wazee wa kijiji cha Mwandika, Kigoma, ambako ndiko alikozaliwa Mbunge wao Zitto, wamekutana jio hii, kujadili pamoja na mambo mengine hali ya mambo juu ya Zitto.

Hali ilivyokuwa:

Mzee anaejulikana kwa jina la Hamis Chakupewa, alileta hoja ya kumjadili Zitto, kwa kuomba wazee waliokuwa kwenye "baraza" kikao hicho kumjadili kama mbunge wao.

Katika hali isiyotarajiwa, walipinga hoja hiyo kwa kusema kuwa Zitto amekuwa ni mtovu wa nidhamu,hasikii na hana ushirikiano nao kwa kuwa ana imani za kishirikina.

Mzee kigombe alisimama na kuomba wazee wakumbuke kipindi wanamuita wakati akitaka kugombea ubunge, aliwadharau na kusema hatambui hilo baraza la wazee ambalo mzee Kigombe ni kiongozi wake.

Mzee alisema, kikao chao hakihusu siasa ila kwa kuwa mbunge wao wanaweza kumjadili.

Ndio wazee wakanza kumchambu kama karanga, kwa kuongea amekuwa haonekaniki jimboni na kuwa hata wanafamilia wa mbunge huyo hawashiriki katika shughuli za kijamii. Kama misiba.

Wazee walienda mbali na kugusia saga yake ndani ya CHADEMA na kusema angekuwa na nidhamu ya hali ya juu angerudi hapo Mwandiga ili awajulisha nini kinaendelea ila kwa kuwa anadharau, baadhi yao wamesema hata huko chadema wamefanya sahihi kumuondolea madaraka ili atulie maana kila siku anasema yupo busy na majukumu ya Chama na Bunge.

Mtazamo wa wengi kwa haraka wanakubali maamuzi ya kamati kuu.

Wameenda mbali zaidi kwa kusema anapashwa kwenda kuwaomba msamaha, kwa kuwa ni mtovu wa nidhamu ili mambo yake yaende sawa.

My take.
Zzk kuwa msitaarabu kawatake radhi wazee...
Pia wanafamilia wako waambie wawe wanatoa ushirikiano na jamii

Asanteni.
 
ZZK haambiliki na sidhani anaweza kwenda Mwandika kuwaomba msamaha wazee kama wanavyo mtathmini.
Wamsamehe bure tu,kwani kwa sasa amechanganyikiwa.
 
sisi ni wana kigoma_kitu hicho hakipo, umeamua kutumika kama kondom
 
Hivi yale maandamano ya baada ya swala ya Ijumaa yaliishia vipi?
 
Perfect una wadudu kichwani. Mie niko hapa mwandiga kigoma, hakuna kikao chochote kile kilichofanyika.

Dj mbowe anayekutuma anaondoka kwenye kiti hicho utakuwa na wakati mgumu mno.

Acha kuposha umma!!!!!!!!!!
 
Zitto akiwa Mwenyekiti wa CCM ingefaa sana.

I would like to recommend him
 
Perfect una wadudu kichwani. Mie niko hapa mwandiga kigoma, hakuna kikao chochote kile kilichofanyika.

Dj mbowe anayekutuma anaondoka kwenye kiti hicho utakuwa na wakati mgumu mno.

Acha kuposha umma!!!!!!!!!!

vipi maandamano lini..
mwambie Zitto arudishe kadi yetu..
 
Katika hali isiyoyatajiwa, wazee wa kijiji cha Mwandika, Kigoma, ambako ndiko alikozaliwa Mbunge wao Zitto, wamekutana jio hii, kujadili pamoja na mambo mengine hali ya mambo juu ya Zitto.

Hali ilivyokuwa:

Mzee anaejulikana kwa jina la Hamis Chakupewa, alileta hoja ya kumjadili Zitto, kwa kuomba wazee waliokuwa kwenye "baraza" kikao hicho kumjadili kama mbunge wao.

Katika hali isiyotarajiwa, walipinga hoja hiyo kwa kusema kuwa Zitto amekuwa ni mtovu wa nidhamu,hasikii na hana ushirikiano nao kwa kuwa ana imani za kishirikina.

Mzee kigombe alisimama na kuomba wazee wakumbuke kipindi wanamuita wakati akitaka kugombea ubunge, aliwadharau na kusema hatambui hilo baraza la wazee ambalo mzee Kigombe ni kiongozi wake.

Mzee alisema, kikao chao hakihusu siasa ila kwa kuwa mbunge wao wanaweza kumjadili.

Ndio wazee wakanza kumchambu kama karanga, kwa kuongea amekuwa haonekaniki jimboni na kuwa hata wanafamilia wa mbunge huyo hawashiriki katika shughuli za kijamii. Kama misiba.

Wazee walienda mbali na kugusia saga yake ndani ya CHADEMA na kusema angekuwa na nidhamu ya hali ya juu angerudi hapo Mwandiga ili awajulisha nini kinaendelea ila kwa kuwa anadharau, baadhi yao wamesema hata huko chadema wamefanya sahihi kumuondolea madaraka ili atulie maana kila siku anasema yupo busy na majukumu ya Chama na Bunge.

Mtazamo wa wengi kwa haraka wanakubali maamuzi ya kamati kuu.

Wameenda mbali zaidi kwa kusema anapashwa kwenda kuwaomba msamaha, kwa kuwa ni mtovu wa nidhamu ili mambo yake yaende sawa.

My take.
Zzk kuwa msitaarabu kawatake radhi wazee...
Pia wanafamilia wako waambie wawe wanatoa ushirikiano na jamii

Asanteni.

nyie wachaga zitto siyo size yenu, mtaumia na propaganda zenu dhidi yake
 
Acha UONGO tena acha kupotosha watu. kwanza inaonekana ww umetumwa ili kumchafua ZZK. Ulivyokua huna hata aibu unataja na majina ya uongo. jina lenyewe la kijj hulijui, huoni AIBU!!! hujui ulifanyalo SHAME ON U!! kilaza mkubwa.
 
Kigoma hamna kijiji kinachoitwa Mwandika,mwandishi arekebishe,Pia Title imeandikwa MWANDIHA pia kijiji kama hicho hakipo

WOGA MPAKA MNAKOSEA
 
Back
Top Bottom