Kigoma washangaa kutokuelezwa sababu za kufukuzwa Zitto

Wakazi wa kigoma mjini wameshangaa kwa nini katibu mkuu wa CHADEMA FR. Wilbroad Slaa kutokuwaeleza sababu za Ndugu Zitto Kabwe kufukuzwa kwenye uongozi wa chama. Wakihojiwa na StarTV kwa nini wamehudhuria kwa wingi mkutanoni wamesema wao wamemlaki Fr. Wilibroad Slaa kama ambavyo wangemlaki kiongozi mwingine wa serikali. Wakitoa maoni yao ya kwa nini wanaamini Ndugu Zitto amefukuzwa, wengi wanaamini ni kwasababu ya vita vya kisiasa kugombea uongozi ndani ya chama.
source:StarTV

My take:
CHADEMA walikubali kumtumia zitto kujenga chama huku wakijua udhaifu wake na haraka yake ya ulafi kutaka madaraka.Kanda ya ziwa na magharibi mwa Tanzania wengi wameingia CHADEMA kwa ushawishi wa kambi ya zitto. Kwa sasa usalama na umoja wa chama ni muhimu sana kuliko kuoneshana umwamba. tuukubali udhaifu wa zitto ili chama kisimame na wakati huo tutafute njia mbadala ya kuufunika umaarufu wa zitto kanda ya ziwa na magharibi ili tutakapomtimua asiwe na athari kama zinazoweza kutokea sasa.

pia CHADEMA wawe makini na siasa za UKWELI ZA UKABILA na ukanda ndani ya chama. Inapotokea kila mchaga na anayetoka mikoa ya kaskazini mwa tanzania ni chadema na kila kiongozi ofisi kuu anatoka kaskazini inatukera sisi wagogo na wengineo. Na inapotokea kila mwenye nia ya kuwa mwenyekiti ikiwa hatoki kaskazini anashambuliwa kuna walakini! inapotokea manispaa kama Arusha madiwani wote kasoro mmoja ni wachaga, hapo kuna walakini. NI KAMA AMBAVYO WACHAGA na wameru WANAJIANDAA SASA KUANZA KUNISHAMBULIA!!!!!
Aiseeh! Umenena sahihi kabisa. Matendo yanaongea kuliko maneno. cdm ina mzizi kaskazini ila ujumbe umefika nchi nzima. Sasa wa kaskazini wakipe chama nafasi kuwa cha kitaifa sio kudhani cdm ni kampuni ya watu fulani.
 
Tunahangaishwa na UVccm waliopewa simu na ipad bure kwa sharti la kuzitumia kukijenga ccm mtandaon waspozitumia watanyang'anywa.
 
Wakazi wa kigoma mjini wameshangaa kwa nini katibu mkuu wa CHADEMA FR. Wilbroad Slaa kutokuwaeleza sababu za Ndugu Zitto Kabwe kufukuzwa kwenye uongozi wa chama. Wakihojiwa na StarTV kwa nini wamehudhuria kwa wingi mkutanoni wamesema wao wamemlaki Fr. Wilibroad Slaa kama ambavyo wangemlaki kiongozi mwingine wa serikali. Wakitoa maoni yao ya kwa nini wanaamini Ndugu Zitto amefukuzwa, wengi wanaamini ni kwasababu ya vita vya kisiasa kugombea uongozi ndani ya chama.
source:StarTV

My take:
CHADEMA walikubali kumtumia zitto kujenga chama huku wakijua udhaifu wake na haraka yake ya ulafi kutaka madaraka.Kanda ya ziwa na magharibi mwa Tanzania wengi wameingia CHADEMA kwa ushawishi wa kambi ya zitto. Kwa sasa usalama na umoja wa chama ni muhimu sana kuliko kuoneshana umwamba. tuukubali udhaifu wa zitto ili chama kisimame na wakati huo tutafute njia mbadala ya kuufunika umaarufu wa zitto kanda ya ziwa na magharibi ili tutakapomtimua asiwe na athari kama zinazoweza kutokea sasa.

pia CHADEMA wawe makini na siasa za UKWELI ZA UKABILA na ukanda ndani ya chama. Inapotokea kila mchaga na anayetoka mikoa ya kaskazini mwa tanzania ni chadema na kila kiongozi ofisi kuu anatoka kaskazini inatukera sisi wagogo na wengineo. Na inapotokea kila mwenye nia ya kuwa mwenyekiti ikiwa hatoki kaskazini anashambuliwa kuna walakini! inapotokea manispaa kama Arusha madiwani wote kasoro mmoja ni wachaga, hapo kuna walakini. NI KAMA AMBAVYO WACHAGA na wameru WANAJIANDAA SASA KUANZA KUNISHAMBULIA!!!!!

Mtaweweseka sana na siasa zenu za maji taka, poleni kwa hasara mpatayo.Ritz atakupa tenda ya kulipa vibarua Msoga pull up socks.
 
Acha unafiki! Ukiwa mnafiki wakati wa ujana wako, ukizeeka utakuwa mchawi!
 
Baada ya ziara ya dr slaa kumalizika kuna baadhi ya watu (viongozi wa ccm) wamekuwa wakihoji juu ya ulinzi aliopewa Dr Slaa toka anapokelewa kigoma mjini hadi anaondoka kwanini,kwa akili yao walitaka polisi wasimpe ulinzi ili adhma yao iliyokuwa inasemwa itimizwe pacpo upinzani,nichukue fursa hii kumpongeza kamanda wa polisi mkoa wa kigoma kwa kutoa ulinzi wa kutosha kwa kiongozi huyu,nimwombe kamanda wa polisi mkoa wa Tabora ampe ulinzi stahiki ili kiongozi huyu afanye kazi yake kwa usalama
 
Kitendo cha nyie baadhi mnaotoa habari umu mnapotosha watu na kuwaaribu akili watu, neno lako moja linaweza kuwa na madhara ya watu elfu moja, mfano hapo kaandika eti kafukuzwa jaman ni kweli kafukuzwa ama????View attachment 126376
 
Hivi mleta mada anaongelea kanda ipi ya ziwa anayokubalika sana zitto? Mwanza,Mara au Kagera? kwa taarifa yako tu ni kuwa katika mikoa hii 3 DR.SLAA anatisha mbaya! wafuasi wa Zitto kwa mwanza ni wale waliotimuliwa CDM kama matata na chagulani na wapo ccm kwa sasa.wana Mwanza wana hasira yaye sana huyo mamluki! KIUFUPI MWANZA HATUWATAKI WASALITI.
 
Ni ndumi la kuwili, Mnafiki, msaliti na sio muongo kupindukia, haya hizo ndio sababu za kufukuzwa kwake!:frusty:
 
Back
Top Bottom