Kigoma wanafunzi kusoma wamekaa chini wawakilishi wao bungeni wapo?

carefree

JF-Expert Member
Dec 19, 2010
266
47
Tbc wameonyesha watoto wa shule ya msingi luiche kigoma wanasoma wakiwa wamekaa chini kwenye vumbi wamepanga mawe yaani magoti yana sugu hawana ubao madarasa ya nyasi hakuna paa wabunge wao wako madiwani wako yaani hata mmem haikuwapitia tz miaka 50 ya uhuru lakini wananchi wengi bado wanamachungu
 
Back
Top Bottom