LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 9,211
- 12,716
Wanakigoma wanasema ccm waandikie maumivu
Unyoya uleule!Ziara ya hii ni kumsaidia Jiwe kwenye kampeni zake.Mbaya zaidi wanaoalikwa ni madikteta!
Huyo Rais mpya wa Burundi ni dikiteta?Ziara ya hii ni kumsaidia Jiwe kwenye kampeni zake.Mbaya zaidi wanaoalikwa ni madikteta!
Na naona Zitto amempigia kolabo Lisu.,safi.Wanakigoma wanasema ccm waandikie maumivu
Hiyo haikuwa theme ya post yangu.Wewe mwongo...kulifanyika jaribio la mapinduzi akiwa Ikulu Dar es Salaam kwenye mkutano wa viongozi wa Afrika Mashariki...akiwa kwenye mkutano na baada ya habari hizo akaondoka na kurejea Burundi na akazima jaribio Hilo...walioanzisha jaribio Hilo walifyekelewa mbali na wengine kukimbilia Rwanda waliowatuma...
NdioHuyo Rais mpya wa Burundi ni dikiteta?
Ndio
Jamii ya Nkurunzinza
Kwani ameanza kutawala leo?Huyo jamaa alikuwa ni right handman of Nkurunzinza,anayo damu ya warundi mikononi mwake.Yaani ni sawa na MaliyaMungu angekuwa mbadala wa Eid Amin au Bashite angekuwa mbadala wa Jiwe.Imetumika nguvu kubwa kumuingiza huyo jamaa madarakani!Kwa hiyo kwa muda mfupi tu tangu aingie madarakani kwa sababu ni jamii ya Nkurunzinza basi umepata jibu kwamba jamaa ni dikiteta?
Km hujui mambo kaa kimya nayo ni busaraHuyo wa Burundi ni dikteta...!!??
au mnapenda kuandika bila kutafakari
Kama unajua hivyo next time usirudie kuropoka bila kuelewa mambo sawa sawa ww kilaza aka kiazi mbatata...Km hujui mambo kaa kimya nayo ni busara
Nyie mazwazwa na misukule ya lumumba mnashida sana. Haya basi umeshinda kachukue tuzo ccm mtaa lumumba😒😒Kama unajua hivyo next time usirudie kuropoka bila kuelewa mambo sawa sawa ww kilaza aka kiazi mbatata...
Angalia hichi kiazi....Nyie mazwazwa na misukule ya lumumba mnashida sana. Haya basi umeshinda kachukue tuzo ccm mtaa lumumba😒😒
Hahaaaa..... Inauma lkn ndo dawa mkuu🤔🤔Angalia hichi kiazi....
Sijawahi na siwezi kuwa mwana ssm wa cdm...Hahaaaa..... Inauma lkn ndo dawa mkuu🤔🤔
Sawa sawa mkuu.....Utaingia tu kwenye 18. I swearSijawahi na siwezi kuwa mwana ssm wa cdm...
wala chama chochote......
mm ni free agent tek that....
nyie ndio wale kila mzungu mnadhani ni padre!!