Kigoma: Radi yaua Ng'ombe 22 wenye thamani ya mamilioni ya pesa

Kwa tunaowajua Waha ( wana Kigoma ) vyema kabisa hiyo Radi lazima tu ilikuwa inaelekezwa kwa Mtu Mmoja na pengine hata na Kizazi chake chote Kiteketee mazima, sema tu imekuta na Yeye Mlengwa nae yupo vizuri ' Kindumba ' hivyo ' Kombora ' likaelekezewa kwa hiyo Mifugo.

RIP Mifugo Marehemu wote Pichani.
kumbe ndyo hvyo, na ndyo mana ikawapata mifugo yake, aiseee kigoma mwisho wa reli na vengne
 
Kwa tunaowajua Waha ( wana Kigoma ) vyema kabisa hiyo Radi lazima tu ilikuwa inaelekezwa kwa Mtu Mmoja na pengine hata na Kizazi chake chote Kiteketee mazima, sema tu imekuta na Yeye Mlengwa nae yupo vizuri ' Kindumba ' hivyo ' Kombora ' likaelekezewa kwa hiyo Mifugo.

RIP Mifugo Marehemu wote Pichani.
Kweli Mkuu, hiyo ilitumwa kwa mtu ila aliyetumiwa yuko vzr so imehamia kuua ng'ombe vinginevyo hapo ht kusingekuwa na ng'ombe chochote kingechanwa chanwa iwe mti au hata nyuma au aridhi
 
Watu wana imani sana na ushirikina!
Lakini tukio kama hili nililishuhudia Tbr mwaka 1998.
Kuna radi ilipiga kundi la ng'ombe wakiwa machungani na 12 wakafa papo hapo.
Watu nd'o wakatumiaje fursa!
 
Kweli Mkuu, hiyo ilitumwa kwa mtu ila aliyetumiwa yuko vzr so imehamia kuua ng'ombe vinginevyo hapo ht kusingekuwa na ng'ombe chochote kingechanwa chanwa iwe mti au hata nyuma au aridhi
Ah kumbe hao ng'ombe yaweza kua sio wa targeted person, kanakwamba ikishindwa kumpata mlengwa basi linaaungaka sehem yoyote kwabahat mbaya likawakuta ng'ombe
 
Hichi kitu kingeshuka hapahapa Dar maeneo fulani ili kitupunguzie kero mbalimbali.
 
Afadhali hii haijatokea Sumbawanga, labda itasaidia kujulisha watu wanaokariri kuwa Sumbawanga ni sehemu pekee nchini yenye mambo ya kishirikina. Washirikina wapo popote, tena mijini ndio wengi kweli maana kuna changamoto za kutafuta maisha
 
Duuuh ama kweli hii ni Social Science..

Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Chakwale
Mungu Ibariki Gairo
Mungu Ibariki Morogoro
 
kwa mara ya kwanza wakati nipo Kasulu nilishuhudia radi ikiunguza mnazi inawezekana na kupitiwa na bonde la ufa kumechangia
 
....Hivi inapotokea kama hivi na wenyewe mko pale pale mkaamua kuwachinja Ng' ombe wakati wakitapatapa baada ya kupigwa na radio, mnapowala mtakuwa mmekula Vibudu ama in nyama halali...?
 
Back
Top Bottom