Kashaijabutege
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 2,696
- 740
Jamani naomba matokeo ya Mkoa wa Kigoma, mbali na Zitto Kabwe, wengine wamefanyaje? Leta raha wenye taarifa kamili, please:israel:
Mkuu hapo kwenye red, una uhakika?Kasulu NCCR imeshinda na kibondo CHADEMA wamechukua. kigoma mjini bado sijapata information. Ila Diwani wa CHADEMA katika kata yetu ya Mji mwema ameshinda na jana usiku tumekunywa sana bia kusheherekea ushindi wake
Mkuu hapo kwenye red, una uhakika?
Kasulu NCCR imeshinda na kibondo CHADEMA wamechuku. kigoma mjini bado sijapata information. Ila Diwani wa CHADEMA katika kata yetu ya Mji mwema ameshinda na jana usiku tumekunywa sana bia kusheherekea ushindi wake
Nasikia Serukamba wa Kigoma Mjini amekataa kusaini. Inaweza kuwa ni hivi:
Kigoma Mjini...........CHADEMA
Kigoma Kas..............CHADEMA
Kigoma Kus..............NCCR
Kasulu Mash----------NCCR
TUZIDI KUOMBA