Elections 2010 Kigoma nasikia ni balaa

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Jamani naomba matokeo ya Mkoa wa Kigoma, mbali na Zitto Kabwe, wengine wamefanyaje? Leta raha wenye taarifa kamili, please:israel:
 
Kuna jamaa nimempigia Kigoma mjini anasema idadi ya madiwani wa Chadema walioshinda ni kubwa, na upepo unaonesha mgombea Ubunge wa Chadema anaelekea kushinda
 
Sasa umjuaje ni balaa kumbe unauuliza tu maswali.............haya nayo ni vipi jamani?

Unainua matarajio yetu bureeeeeeeeeeeee
 
Kasulu NCCR imeshinda na kibondo CHADEMA wamechuku. kigoma mjini bado sijapata information. Ila Diwani wa CHADEMA katika kata yetu ya Mji mwema ameshinda na jana usiku tumekunywa sana bia kusheherekea ushindi wake
 
Kasulu NCCR imeshinda na kibondo CHADEMA wamechukua. kigoma mjini bado sijapata information. Ila Diwani wa CHADEMA katika kata yetu ya Mji mwema ameshinda na jana usiku tumekunywa sana bia kusheherekea ushindi wake
Mkuu hapo kwenye red, una uhakika?
 
Jamani toeni matokeo yaliyo sahihi na wazi maana mnatupandisha presha!!
 
kimsingi kuna jamaa yangu ambaye alikwenda kupiga kura kibondo,hadi asubuhi hii amenijulisha kuwa nccr mageuzi wamefanikiwa kuongoza majimbo yote mawili,habari za chadema nami zijaziamini sana,nawasiliana na jamaa tena kisha nitawajulisha
 
Kigoma mjini Peter Selukamba wa CCM anapumlia mashine,Ally wa Chadema anaongoza,Kigoma kusini Kafullila wa NCCR amepitia kiti
 
Kasulu NCCR imeshinda na kibondo CHADEMA wamechuku. kigoma mjini bado sijapata information. Ila Diwani wa CHADEMA katika kata yetu ya Mji mwema ameshinda na jana usiku tumekunywa sana bia kusheherekea ushindi wake

Ungekuwa specific kwa kuwa Kasulu na Kibondo kuna majimbo zaidi ya moja moja. Kibondo ucheck vizuri kwa kuwa kwenye kata nyingi za Jimbo la Muhambwe alikuwa anaongoza Felix Mkosamali wa NCCR. Labda Buyungu ndo Chadema imechukua. Verify plz.

Muhambwe mgombea wa Chadema ni Ntagazwa, ameshaboa wananchi, walimkataa mbele ya Dr. Slaa, hakubaliki kabisha huko.
 
Nasikia Serukamba wa Kigoma Mjini amekataa kusaini. Inaweza kuwa ni hivi:
Kigoma Mjini...........CHADEMA
Kigoma Kas..............CHADEMA
Kigoma Kus..............NCCR
Kasulu Mash----------NCCR

TUZIDI KUOMBA
 
Nasikia Serukamba wa Kigoma Mjini amekataa kusaini. Inaweza kuwa ni hivi:
Kigoma Mjini...........CHADEMA
Kigoma Kas..............CHADEMA
Kigoma Kus..............NCCR
Kasulu Mash----------NCCR

TUZIDI KUOMBA

Afadhali Daniel Nsanzugwanko chali, aliwahi kuwa waziri kwa kiwete. alitumia dharau kuchapa vibao nanachi wanaouliza maswali kwenye mikutano ya kampeni, si mnajua kule ni remote hakuna serikalim, amchapa watu vibao bwana, acha akapumzike.
 
Kigomba Mjini 20594 Serukamba wa Kigoma
19414 Bwana Ali na CUF wamekuwa wa Tatu
 
Back
Top Bottom