Kigoma na utata katika swala la Uhamisho lawagumzo

mwanzo wetu

JF-Expert Member
May 4, 2014
1,581
461
Huku kukiwa na utata mzito kwa Walimu mkoani Kigoma juu ya swala la Uhamisho, Walimu waliokuwa wameomba kuhama tena ndani ya mkoa huohuo kwa sababu maalumu hususani kwenda kuishi karibu na mama zao ambao kwa sasa ni vikongwe au matatizo mbalimbali ya kifamilia sasa imekuwa ngumu kwao kwani wamekuwa wakienda ngazi ya mkoa pale wanapokuwa tayari wamesainiwa barua zao za Uhamisho katika ngazi ya Wilayanakuambiwa kuwa tamko la Raisi hamuna kuhama Kitu ambacho nimeona kuwa nikuwanyima haki yao ya Msingi, Ebu tamisemi Muliangalie hili Kwani hawa niwalimu wenu na munawavunja moyo wakufanya kazi kwa Aman na Uzalendo. Nawasilisha kama na huko kwako yapo paza sauti kwa ajili ya Walimu nchini.
 
Kigoma naweza kusema ni mkoa ambao walimu wengi wakipangiwa huko wanafanya utaratibu wa uhamisho haraka sana tofauti na mikoa mingine.

Whats going on..!?
 
Back
Top Bottom