MKEHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 714
- 1,137
Japo Kigoma ni mkoa mkongwe hapa nchini lakini bado miundombinu yake ni mibovu sana . Kigoma imepakana na Katavi, Kagera na Tabora.Lakini kufika katika mikoa hiyo lazima ule vumbi kwanza. Lakini pia Kigoma ipo jirani sana na ni lango kuu la kuingia nchi za DR Congo, Burundi, Zambia kupitia ziwa Tanganyika na Rwanda pia.
Hata mikoa iliyoanzishwa majuzi tu kama Simiyu, Katavi na Geita iko connected kwa barabara za rami. Nasikia hata standard gauge inaelekea Mwanza wakati mizigo iliyoko Congo mashariki na Burundi haina wachukuzi. Sijui Kigoma viongozi wanapachukuliaje jamani