Elections 2010 Kigoma Mjini uchakachuaji unataka kugonga mwamba

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,949
Hatimaye Zitto kabwe kaja kuhakikisha mbunge wa Kigoma mjini anapata haki yake. Chadema imeshinda viti 13 vya udiwani kati ya viti 19. Inasemekana kua unataka kufanyika mchezo wa kuchakachua wakati tayari wananci wanayo matokeo kamili. Zitto ndani ya nyumba hadi kieleweke
 
Hata arusha ilikuwa hivyo hivyo ndesa pesa wakishirikiana na freeman mbowe walitua arusha kikaeleweka
 
Back
Top Bottom