Elections 2010 Kigoma mjini nako CCM hatimaye wachakachua...!!!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Matokeo ya kiti cha ubunge jimbo la kigoma mjini yametoka lakini katika mazingira ya kutatanisha. Mpaka saa 2 asubuhi leo mgombea wa CHADEMA Ali Khalfan Mlei alikuwa akiongoza kwa kura zaidi ya kura 480 dhidi ya mgombea wa CCM Peter Serukamba. Watu wengi walikusanyika nje ya ofisi za mkurugenzi wa manispaa ya kigoma/ujiji kushinikiza msimamizi kutangaza matokeo. Polisi wenye silaha wamezunguka ofisi hizo kulinda usalama.

Muda mfupi uliopita msimamizi ametangaza kuwa mgombea wa CCM ameshinda kwa zaidi ya kura 1,000 dhidi ya mgombea wa CHADEMA. sasa hivi mji wa kigoma ni fujo za hatari FFU wakiwa kwenye magari yao wanapiga mabomu ya machozi na uharibifu unaweza kutokea kwani watu wameingia mitaani kupinga matokeo..............
 
Amani ya tanzania itavunjwa na watanzania wenyewe kupitia chama cha mafisadi
 
hatari tuombe mola salama maana watakaoathirika hapo ni ha masikini za mungu
 
siamini wameamua kufanya hivi!!
dah hii hatari sana
 
Ni hatari sana nchi hii. Wananchi wanapelekwa pabaya sana kutokana na uroho wa madaraka ya watu wachache
 
Hivi CCM na tume wanaweza kushinda nguvu ya umma? jamani jifunzeni ya kenya. polisi walishindwa. Ohh wapinzani wanaleta vita, je hao wanoaleta mtafaruku ni wapinzani? acheni kuchezea roho za watu jamani, mwogopeni Mungu.
 
Muda mfupi uliopita msimamizi ametangaza kuwa mgombea wa CCM (KIGOMA MJINI) ameshinda kwa zaidi ya kura 1,000 dhidi ya mgombea wa CHADEMA. sasa hivi mji wa kigoma ni fujo za hatari FFU wakiwa kwenye magari yao wanapiga mabomu ya machozi na uharibifu unaweza kutokea kwani watu wameingia mitaani kupinga matokeo.

Mkuu Sajenti, upo Kigoma?

Nipo ninachat na mshkaji kwa Skype hapa na hana taarifa za hayo mabomu. Yeye anachojua ni kwamba kura zipo zinahesabiwa upya. Matokeo ya kwanza yalionyesha CHADEMA wameshinda kwa kama kura 450, na DC akawa analazimisha CCM watangazwe.

Hali ni tete sana. FFU wametapakaa nje ya jengo zinapohesabiwa kura

Matokeo mengine kwa Kasulu mjini NSSR Mageuzi imetwaa majombo yote mawili, Kibondo mjini NSSR pia, Kibondo vijijini bado haijawa confirmed
 
Kuna habari kutoka Kigoma mjini kwamba DED kapigiwa CCM na Makamba amtangaze mshindi wa CCM - ati tofauti ya kura 450 ni kidoo sana na hawa wagombea ''wanakubalika'' wote, so, wa CCM ndo achukuliwe.

Hii ina maana pia matokeo yoooooooooooote nchi nzima yanatumwa Ikulu kwanza na hawa ''wasimamizi'' wakuu wa majimbo/wilaya wanasubiri amri kutoka kwa wakubwa.

Shame! Shame!Shame! - MKOLONI bora arudi tu. Au ni bora tuingie vitani tu ili heshima irudi
 
mkuu sajenti, upo kigoma?

Nipo ninachat na mshkaji kwa skype hapa na hana taarifa za hayo mabomu. Yeye anachojua ni kwamba kura zipo zinahesabiwa upya. Matokeo ya kwanza yalionyesha chadema wameshinda kwa kama kura 450, na dc akawa analazimisha ccm watangazwe.

Hali ni tete sana. Ffu wametapakaa nje ya jengo zinapohesabiwa kura

matokeo mengine kwa kasulu mjini nssr mageuzi imetwaa majombo yote mawili, kibondo mjini nssr pia, kibondo vijijini bado haijawa confirmed

Matokeo ya kiti cha ubunge jimbo la kigoma mjini yametoka lakini katika mazingira ya kutatanisha. Mpaka saa 2 asubuhi leo mgombea wa CHADEMA Ali Khalfan Mlei alikuwa akiongoza kwa kura zaidi ya kura 480 dhidi ya mgombea wa CCM Peter Serukamba. Watu wengi walikusanyika nje ya ofisi za mkurugenzi wa manispaa ya kigoma/ujiji kushinikiza msimamizi kutangaza matokeo. Polisi wenye silaha wamezunguka ofisi hizo kulinda usalama.

Muda mfupi uliopita msimamizi ametangaza kuwa mgombea wa CCM ameshinda kwa zaidi ya kura 1,000 dhidi ya mgombea wa CHADEMA. sasa hivi mji wa kigoma ni fujo za hatari FFU wakiwa kwenye magari yao wanapiga mabomu ya machozi na uharibifu unaweza kutokea kwani watu wameingia mitaani kupinga matokeo..............
tumuamini yupi sasa mara huyu anasema mabomu yanapigwa mara huyu anasema vile
 
hatari tuombe mola salama maana watakaoathirika hapo ni ha masikini za mungu

Jaman mbona iv lakn? Tz na hawa mafsadi! Iv nchi hi ni ya ccm? Nashndwa kuelewa kwa nin hawatak kutoa matokeo, Arsh, Mwnz, Dar, Kgoma, K'njaro bado kuna mizengwe ingawaje matokeo yanafahamika kua CHADEMA imeshnda tena kwa kshndo! Ya nin yote haya kukarbisha hal ya hatar! Tumwombe Mungu sana coz Tz ha2na Amani!
 
Mbona nimesikia Kigoma CCM kiti kimoja tu, Chadema kimoja na NCCR MAGEUZI viti vitano.........................

Mambo mbona yanatuchanganya hivyo.....................
 
Mkuu Sajenti, upo Kigoma?

Nipo ninachat na mshkaji kwa Skype hapa na hana taarifa za hayo mabomu. Yeye anachojua ni kwamba kura zipo zinahesabiwa upya. Matokeo ya kwanza yalionyesha CHADEMA wameshinda kwa kama kura 450, na DC akawa analazimisha CCM watangazwe.

Hali ni tete sana. FFU wametapakaa nje ya jengo zinapohesabiwa kura

Matokeo mengine kwa Kasulu mjini NSSR Mageuzi imetwaa majombo yote mawili, Kibondo mjini NSSR pia, Kibondo vijijini bado haijawa confirmed
Kumbukeni DC wa Kigoma mjini ni mtoto wa Getrude Mongela hivyo huyo ni mtoto wa nyoka.
 
Vitisho, fujo na vurugu hiyo ndiyo furaha ya watawala. Hawajali kupandia maiti za watu wachukue madaraka. Shame on you
 
Matokeo ya kiti cha ubunge jimbo la kigoma mjini yametoka lakini katika mazingira ya kutatanisha. Mpaka saa 2 asubuhi leo mgombea wa CHADEMA Ali Khalfan Mlei alikuwa akiongoza kwa kura zaidi ya kura 480 dhidi ya mgombea wa CCM Peter Serukamba. Watu wengi walikusanyika nje ya ofisi za mkurugenzi wa manispaa ya kigoma/ujiji kushinikiza msimamizi kutangaza matokeo. Polisi wenye silaha wamezunguka ofisi hizo kulinda usalama.

Muda mfupi uliopita msimamizi ametangaza kuwa mgombea wa CCM ameshinda kwa zaidi ya kura 1,000 dhidi ya mgombea wa CHADEMA. sasa hivi mji wa kigoma ni fujo za hatari FFU wakiwa kwenye magari yao wanapiga mabomu ya machozi na uharibifu unaweza kutokea kwani watu wameingia mitaani kupinga matokeo..............

Nilivyoelewa mimi ni kwamba hadi muda huo mtu wa CHADEMA alikuwa tu anaongoza na sio kwamba alikuwa ameshinda!!!! Tangu lini kila siku anayeongoza ndie anaeshinda?! Maana ya kuongoza ni nini kama sio kwamba kuna baadhi ya vituo kura zilikuwa hazijahesabiwa? Saa ya ukombozi iliwekwa betri za kichina !!!!!!
 
Matokeo ya kiti cha ubunge jimbo la kigoma mjini yametoka lakini katika mazingira ya kutatanisha. Mpaka saa 2 asubuhi leo mgombea wa CHADEMA Ali Khalfan Mlei alikuwa akiongoza kwa kura zaidi ya kura 480 dhidi ya mgombea wa CCM Peter Serukamba. Watu wengi walikusanyika nje ya ofisi za mkurugenzi wa manispaa ya kigoma/ujiji kushinikiza msimamizi kutangaza matokeo. Polisi wenye silaha wamezunguka ofisi hizo kulinda usalama.

Muda mfupi uliopita msimamizi ametangaza kuwa mgombea wa CCM ameshinda kwa zaidi ya kura 1,000 dhidi ya mgombea wa CHADEMA. sasa hivi mji wa kigoma ni fujo za hatari FFU wakiwa kwenye magari yao wanapiga mabomu ya machozi na uharibifu unaweza kutokea kwani watu wameingia mitaani kupinga matokeo..............

Jamani tuache upuuzi..., kwani lazima CHADEMA ishinde... referee wa uchaguzi ni tume ya uchaguzi akisema CHADEMA imeshinda tunaishia hapo. Akisema NCCR kadhalika... kama wamechakachua... Hata hivyo kama ukiona kura zimejumuishwa vibaya kuna kukata rufaa wandugu.
 
Back
Top Bottom