Kigoma mjini nako CCM hatimaye wachakachua...!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigoma mjini nako CCM hatimaye wachakachua...!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Sajenti, Nov 1, 2010.

 1. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Matokeo ya kiti cha ubunge jimbo la kigoma mjini yametoka lakini katika mazingira ya kutatanisha. Mpaka saa 2 asubuhi leo mgombea wa CHADEMA Ali Khalfan Mlei alikuwa akiongoza kwa kura zaidi ya kura 480 dhidi ya mgombea wa CCM Peter Serukamba. Watu wengi walikusanyika nje ya ofisi za mkurugenzi wa manispaa ya kigoma/ujiji kushinikiza msimamizi kutangaza matokeo. Polisi wenye silaha wamezunguka ofisi hizo kulinda usalama.

  Muda mfupi uliopita msimamizi ametangaza kuwa mgombea wa CCM ameshinda kwa zaidi ya kura 1,000 dhidi ya mgombea wa CHADEMA. sasa hivi mji wa kigoma ni fujo za hatari FFU wakiwa kwenye magari yao wanapiga mabomu ya machozi na uharibifu unaweza kutokea kwani watu wameingia mitaani kupinga matokeo..............
   
 2. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Amani ya tanzania itavunjwa na watanzania wenyewe kupitia chama cha mafisadi
   
 3. N

  Nampula JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hatari tuombe mola salama maana watakaoathirika hapo ni ha masikini za mungu
   
 4. N

  Nampula JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 26, 2007
  Messages: 254
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  watu wa kigoma hatudnganyiki hatumtaka serukamba
   
 5. MTWA

  MTWA JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 5, 2009
  Messages: 1,024
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Hawa ccm ni hatari sana
   
 6. Aza

  Aza JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 23, 2010
  Messages: 1,672
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  siamini wameamua kufanya hivi!!
  dah hii hatari sana
   
 7. c

  chanai JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 279
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni hatari sana nchi hii. Wananchi wanapelekwa pabaya sana kutokana na uroho wa madaraka ya watu wachache
   
 8. rugumye

  rugumye JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hivi CCM na tume wanaweza kushinda nguvu ya umma? jamani jifunzeni ya kenya. polisi walishindwa. Ohh wapinzani wanaleta vita, je hao wanoaleta mtafaruku ni wapinzani? acheni kuchezea roho za watu jamani, mwogopeni Mungu.
   
 9. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,797
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Mkuu Sajenti, upo Kigoma?

  Nipo ninachat na mshkaji kwa Skype hapa na hana taarifa za hayo mabomu. Yeye anachojua ni kwamba kura zipo zinahesabiwa upya. Matokeo ya kwanza yalionyesha CHADEMA wameshinda kwa kama kura 450, na DC akawa analazimisha CCM watangazwe.

  Hali ni tete sana. FFU wametapakaa nje ya jengo zinapohesabiwa kura

  Matokeo mengine kwa Kasulu mjini NSSR Mageuzi imetwaa majombo yote mawili, Kibondo mjini NSSR pia, Kibondo vijijini bado haijawa confirmed
   
 10. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,797
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Kuna habari kutoka Kigoma mjini kwamba DED kapigiwa CCM na Makamba amtangaze mshindi wa CCM - ati tofauti ya kura 450 ni kidoo sana na hawa wagombea ''wanakubalika'' wote, so, wa CCM ndo achukuliwe.

  Hii ina maana pia matokeo yoooooooooooote nchi nzima yanatumwa Ikulu kwanza na hawa ''wasimamizi'' wakuu wa majimbo/wilaya wanasubiri amri kutoka kwa wakubwa.

  Shame! Shame!Shame! - MKOLONI bora arudi tu. Au ni bora tuingie vitani tu ili heshima irudi
   
 11. K

  King kingo JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Alieshinda ndio atangazwe Mshindi makamba asitake kutubabaisha kabisa...
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ambacho wananchi wameishakichoka
   
 13. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  tumuamini yupi sasa mara huyu anasema mabomu yanapigwa mara huyu anasema vile
   
 14. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #14
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Jaman mbona iv lakn? Tz na hawa mafsadi! Iv nchi hi ni ya ccm? Nashndwa kuelewa kwa nin hawatak kutoa matokeo, Arsh, Mwnz, Dar, Kgoma, K'njaro bado kuna mizengwe ingawaje matokeo yanafahamika kua CHADEMA imeshnda tena kwa kshndo! Ya nin yote haya kukarbisha hal ya hatar! Tumwombe Mungu sana coz Tz ha2na Amani!
   
 15. g

  gidytitus JF-Expert Member

  #15
  Nov 1, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 332
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Ni wakat wa kujua mbichi na mbivu! CCM achieni nchi yetu, TUMECHOKA NA UBOYA WENU!
   
 16. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #16
  Nov 1, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Mbona nimesikia Kigoma CCM kiti kimoja tu, Chadema kimoja na NCCR MAGEUZI viti vitano.........................

  Mambo mbona yanatuchanganya hivyo.....................
   
 17. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #17
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Kumbukeni DC wa Kigoma mjini ni mtoto wa Getrude Mongela hivyo huyo ni mtoto wa nyoka.
   
 18. O

  Omulangi JF-Expert Member

  #18
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 1,026
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Vitisho, fujo na vurugu hiyo ndiyo furaha ya watawala. Hawajali kupandia maiti za watu wachukue madaraka. Shame on you
   
 19. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #19
  Nov 1, 2010
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,653
  Trophy Points: 280
  Nilivyoelewa mimi ni kwamba hadi muda huo mtu wa CHADEMA alikuwa tu anaongoza na sio kwamba alikuwa ameshinda!!!! Tangu lini kila siku anayeongoza ndie anaeshinda?! Maana ya kuongoza ni nini kama sio kwamba kuna baadhi ya vituo kura zilikuwa hazijahesabiwa? Saa ya ukombozi iliwekwa betri za kichina !!!!!!
   
 20. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #20
  Nov 1, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Jamani tuache upuuzi..., kwani lazima CHADEMA ishinde... referee wa uchaguzi ni tume ya uchaguzi akisema CHADEMA imeshinda tunaishia hapo. Akisema NCCR kadhalika... kama wamechakachua... Hata hivyo kama ukiona kura zimejumuishwa vibaya kuna kukata rufaa wandugu.
   
Loading...