Kigoma: Mahakama yatengua udiwani wa Ezekiel Mshindo kwa sababu za Uraia

Sio kweli,Kigoma,Kagera, Tunduma,Mtambaswala Mtwara,wakazi wa hayo maeneo,wanafanana kila kitu na watu wanchi jirani,
Mijtu iliyozaliwa Kerege bagamoyo,Tandale haya hamuyajuhi,Lugha ya Kiha na Kirundi zinafanana,Kiwembwa Cha zambia na lugha ya wakazi wa Tunduma zinafanana,Kagera,Rwanda,Uganda,ukifika kyaka,au murongo boda,hata upande wa TZ watu wanaongea Kiganda,kinyankore,vitu vya kawaida,sasa unataka mkazi,mzaliwa wa Karagwe aongee kama Mzalamo wa Kerege,manzese?
Sio masuala ya kuongea suala kubwa ni kuwa mtanzania mwenye sifa zote hiyo ndiyo logic.
 
Sio kweli,Kigoma,Kagera, Tunduma,Mtambaswala Mtwara,wakazi wa hayo maeneo,wanafanana kila kitu na watu wanchi jirani,
Mijtu iliyozaliwa Kerege bagamoyo,Tandale haya hamuyajuhi,Lugha ya Kiha na Kirundi zinafanana,Kiwembwa Cha zambia na lugha ya wakazi wa Tunduma zinafanana,Kagera,Rwanda,Uganda,ukifika kyaka,au murongo boda,hata upande wa TZ watu wanaongea Kiganda,kinyankore,vitu vya kawaida,sasa unataka mkazi,mzaliwa wa Karagwe aongee kama Mzalamo wa Kerege,manzese?
... hadi kufikia maamuzi mahakama itakuwa ilizingatia yote hayo. Lugha kufanana sio kigezo cha kuwa raia. Waliomteua na kumpitisha walipaswa wazingatie yote hayo. Tukitumia sababu hiyo kuna siku interahamwe watajaa kila mahali nchini kwa kigezo cha lugha kufanana.
 
Back
Top Bottom