Kigoma kumelipuka, waandamana kuipinga serikali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigoma kumelipuka, waandamana kuipinga serikali

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Salas, Aug 10, 2011.

 1. Salas

  Salas JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 15, 2009
  Messages: 380
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ngojea nitafute dondoo kutoka kwa wadau wa Huko, hakika jiwe lilo kataliwa muashi limekuwa jiwe kuu la pembeni.

  Maandamano ya kupinga serikali.
   
 2. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Napiga kigoma hakuna anayepokea kutupa ukweli wa hili
   
 3. Imany John

  Imany John Verified User

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,776
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  jaman wana wapiganaj mambo vp huko?
  2peni habar ili na si wa bungen huku tuwashe moto.
   
 4. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tunataka habari za uhakika bwana
   
 5. M

  Majala Kimolo JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 344
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hakuna kitu bwana wao wangeandamana kwa mambo ya umeme sio mafuta, wamepiga kelele kidogo tu, jana wamerejeshewa huduma ya umeme, mwingine atafute ukweli
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Uhakika ni kwamba mji wa kigoma na vitongoji vyake ulikosa umeme kuanzia jumamosi ya tarehe 6 mpaka usiku wa jumatatu tarehe 8 kwa madai kuwa tanesco kigoma waliishiwa mafuta ya kuendeshea mashine za kufua umeme. Then usiku huo wa tarehe 8 fuel tanker moja likawasili kigoma mnamo saa 3 na ilipofika saa 7 usiku huo huo Tanesco wakawasha mashine zao na umeme ukaanza kupatikana kama kawaida hadi hivi sasa hali ni shwari. Kilichotokea ni kwamba wakazi wengi wa mji wa manispaa ya kigoma/ujiji walikwazika sana na kitendo cha kukosa umeme kwa madai ya Tanesco kutokuwa na mafuta kwa hiyo wakawa wanahoji ufanisi wa taasisi hiyo yenye ukiritimba wa kutoa nishati hiyo. Lakini kama kawaida ya wadanganyika baada ya umeme kuwashwa hakuna kelele wala maandamano mji uko kimya/shwari kila mtu kama ndege anatafuta riziki yake ajuapo mwenyewe. Kinachoonekana kwa tanesco ni kushindwa kujipanga kuhusu upatikanaji wa mafuta kwani haingii akilini mtu wa procurement kushindwa ku-plan mahitaji yao kwa siku, wiki au mwezi na kujua ordering level taking into account other factor kama availability toka kwa supplier wao, transportation na distance from Dar to kigoma ukizingatia bara bara kwa kiasi fulani ni ya vumbi na mashimo mengi. Hilo lingezingatiwa kusingetokea ukosefu wa umeme kwa kisingizio cha kukosa mafuta.....
   
 7. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Umesomeka vema kbs Sajenti! Tunakushukuru!
   
 8. Barubaru

  Barubaru JF-Expert Member

  #8
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 6, 2009
  Messages: 7,162
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Thanks for info. maana yake JF sasa imejaa udaku na umbeya tu.
   
 9. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #9
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Du! Nilivyosoma Heading moyo ukalia 'PAA!' Kuja kusoma habari yenyewe.!
   
 10. Tanganyika1

  Tanganyika1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 10, 2011
  Joined: May 10, 2011
  Messages: 396
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  <br />
  <br />
  honestly nimemis sana maandamano/migomo tena ya huku kitaa maana nataka nijue hii nayo inakuaje. Coz tumezoea ya chuo tu.
   
 11. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #11
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Mtu usirushe kitu humu kama una source
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,468
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Anzisha wewe mwenyewe tena hali ilivyo mbaya huu ndio muda muafaka
   
 13. K

  Karry JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  tunashukuru kwa ufafanuzi
   
Loading...