Kigoma ,Kagera vinara wa kuchafua noti Tanzania

luambo makiadi

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
7,903
2,000
Wakuu nawasalimu kwa heshima kubwa
Kama Mada isemavyo,
Licha ya mikoa ya kigoma na kagera kuwa vinara wa umaskini, bank ya Tanzania (bot) imetoa ripoti yake na kubainisha kuwa mikoa hiyo inaongoza kwa uchakavu wa noti
Hii inatokana na watu wa mikoa hiyo kutokutumia bank kuhifadhi fedha Zao.
Chanzo: Mwananchi
*Nb*nakubaliana na ripoti hii nimewahi kufika kagera baadhi ya watu kule huhifadhi fedha zao ktk ndoo *
fazili
FisadiKuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom