Wanajamii! Za j2! Nipo home naangalia kipindi cha kigoli kinachorushwa na clouds tv. Watoto wana kata viunooooooooooooooo duuuuu hadi namwona mzee kitine akiingia majaribuni live(am a men najua anavypoata shida hapo). Sasa najiuluiza kwa style hii ya kukata viuno kiasi kile ..... . .. .. .. .. .. . .daaaaa sijui hii dunia itakuwaje (usirushe jiwe eti oooohhh mm mwanaume mkware thubutuuuuuuuu mbele ya vile viuno lazima unyong'onyeeeeeeeeee) Mungu kaumba jamani! Anyway kipindi kimeisha nyie wakware msianze ku-tune clouds! tembelea website ya www.cloudstv.com ama you-tube!