Kigogo yote,mabibo na Mburahati muda huu usiku hamna maji na umeme.walaaniwe wote wanaohujumu hizi huduma

Yani ni hivyo
pamoja na mvua yote hiyo bado maji na umeme havipatikani
Tupo mitaa ya kigogo huku giza. ..

Mwenyezimungu muweza wa yote
Kwa yeyote kwa namna yoyote anaye faidika na huu upuuzi, MLAANI

OVER
Tutafute katiba mpya viongozi wajinga hawana nafasi huo mtaa umejaa maccm
 
Mpaka ubungo hukwenye fly over ni giza. Ngoja tungoje huo uleme wa upepo.....Sasa Nyerere dam lijengwwa na hakuna maji.....tutaona mengi ...
 
Yani ni hivyo
pamoja na mvua yote hiyo bado maji na umeme havipatikani
Tupo mitaa ya kigogo huku giza. ..

Mwenyezimungu muweza wa yote
Kwa yeyote kwa namna yoyote anaye faidika na huu upuuzi, MLAANI

OVER
Ni wapi huko? Mbona sisi huku Chato umeme Na maji Ni 24/7? Unga mkono juhudi. Kwanini muishi kwenye mikoa ya ajabuajabu?
 
Sasa una bati unaweza kuwa na madumu alafu unasema mvua yote hio alafu bado hauna maji ? , Kwanini usiyavune au na wewe ndio ulaaniwe
 
Back
Top Bottom