Kigogo wa Tanesco asababisha hasara ya mamilioni..................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Gazeti la Mwananchi la leo linaripoti ya kuwa kigogo mmoja wa Tanesco amesababisha hasara ya mamilioni ya fedha baada ya kupuuzilia mbali ushauri wa kitaalamu wa wadogo zake kazini ambao ni mafundi na hivyo kusababisha jiji la Dar maeneo mengi kuwa gizani kutokana na transformer kuungua.............
 
Huo sio uzalendo na tunamuomba ajiuzulu fasta na pia apelekwe mahakamani kwa kusababisha madhara makubwa kiuchumi.Hawa ndio wanao changia kumfukia Mtanzania kwenye wimbi la umaskini hawapswi kuvumiliwa hata kidogo ni lazima wawajibishwe
 
Ni kawaida yao jamani, acheni wale jamani na kipindi hiki cha pili cha mkulu bado wamo watakula tena.
 
Huo sio uzalendo na tunamuomba ajiuzulu fasta na pia apelekwe mahakamani kwa kusababisha madhara makubwa kiuchumi.Hawa ndio wanao changia kumfukia Mtanzania kwenye wimbi la umaskini hawapswi kuvumiliwa hata kidogo ni lazima wawajibishwe
Wapi serikali ipi yenye makali hayo??? SAHAU!
 
Kwa Kuwa IKULU Umeme Haukatiki basi we piga kelele weeeeeeeeeeeeeee..................lakini hausikiki kwani adhma ya kutokuwa na Umeme ndani ya Nyumba MHESHIMIWA haijui

Na hivi Dar kwa sasa Joto limepamba moto............Mungu 2saidie
 
Huo sio uzalendo na tunamuomba ajiuzulu fasta na pia apelekwe mahakamani kwa kusababisha madhara makubwa kiuchumi.Hawa ndio wanao changia kumfukia Mtanzania kwenye wimbi la umaskini hawapswi kuvumiliwa hata kidogo ni lazima wawajibishwe
Hatuna kitu kama hicho kwetu
 
Jana umeme haukuuzwa kabisa kisa Network,kila utakapo kwenda unaambiwa network hakuna, ukijaribu mpesa unaambiwa kuna tatizo la kiufundi, watu kibao wamelala giza kisa NETWORK hivi tutafika kweli.
 
Huo sio uzalendo na tunamuomba ajiuzulu fasta na pia apelekwe mahakamani kwa kusababisha madhara makubwa kiuchumi.Hawa ndio wanao changia kumfukia Mtanzania kwenye wimbi la umaskini hawapswi kuvumiliwa hata kidogo ni lazima wawajibishwe
AJIHUDHURU............!!!! WHY ................ Kwa TZ kujiuzuru ni mpaka uonewe wivu.......e.g UWAZIRI MKUU.............
 
Huu ni ubabaishaji tu,na ujinga kwani kuna siku umewahi kusikia yahoo ikodown ? kwanini wasiwe na backup net work ? Wanatuabisha tu kwenye fani,SHAME ON YOU TANESCO:embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed:
 
Hii inaweza kusaidia

KakobeTanesco.jpg
 
Jamani mbona mnasahau haraka.... Kwani richmond ilianzaje?????????? Sasa hiyo ni richmond namba mbili........!!!!!!!!mambo hayawezi kwenda bila source.....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Unajua nilinunua umeme via mpesa jmapili asbi feedback nikatumiwa usiku wa manane tukiwa gizani
TANESCO vip mnahujumiana au mnataka Idrissa arudi
 
Back
Top Bottom