Kigogo wa Chadema aliyehamia CCM arejea CHADEMA na kutubu dhambi zake

Katumia uhuru wake wa kidemokrasia.Mimi Kama mwana CCM nichukue nafasi hii kumpongeza mwenyekiti Wa chadema Taifa mheshimiwa Mbowe , kamati kuu ya chadema Taifa ,katibu mkuu Chadema mheshimiwa Dr Mashinji na chief whip wa Upinzani bungeni mheshimiwa Tundu Lisu ,meya Jacob na wanachadema wote nichukue nafasi hii kuwapongeza kwa kumpokea kigogo toka CCM.Ujio wa kigogo huyo unadhihirisha jinsi Sera zenu zinavyokubalika Hadi kwa vigogo Kama huyo aliyehamia kwenu.Hongereni
 
Hata mimi naona ni vyema wakatwe mkia ili kusudi wawe na utulivu.

Hii michezo ya Tumbili kurukia kila tawi la mti siyo mzuri,angalia pale Lumumba:
Miti yake ina majoka kibao,tena wale wa rangi ya kijani.
Ndugu zetu watadhurika kama yule aliyeukwaa unaibu waziri. Ana sumu kibao za pale Lumumba.
 
Ila pamoja na yote nadhani wapinzani pia ni waganga njaa sana, mark my words, hivi chukulia ile fursa ya kuunganisha nguvu ya CUF maalim na CDM, ili kuwa na chama chenye nguvu bara na visiwani, fursa kama ile pamoja na zzk kuwa na shutuma za kuhujumu upinzani mm1 sijui mm2 mm3 na wenzake mbona CDM na CUF maalim hawakuitumia fursa hiyo kuleta bonge la nguvu?

JE NA WAO WANAGANGA GANGA NJAA ZAO TU AMA NI NINI? je ukawa ulikuwa na maana gani iwapo seif na mbowe walishindwa kutumia fursa ya kuwa wamekuwa pamoja wakati wa mapambano sasa waungane kabisaaa kuleta nguvu isiyopimika? iweje seif aungane na ZZK ambaye ni msaliti na aliyehujumu nguvu za ukawa 2015?
Hii ndiyo sumu ya nyoka wa rangi ya kijani,ukiilamba umeenda na maji
 
Kigogo wa chadema ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huko Tabata na mjumbe wa mkutano mkuu ambaye alihamia CCM mwaka jama amerejea rasmi Ufipa.

Akiongea na waandishi wa habari meya wa ubungo mh Jacob amesema kigogo huyo amerejea baada ya CCM kushindwa kumtimizia yale waliyomuahidi.
Bonny amesema wanachadema waliohamia CCM wengi wameomba kurudi na kwa kuanzia vigogo wengine watatu watarejea hivi karibuni.

Kwa kumalizia Meya Bonny amesema wahamaji hao waliahidiwa fedha na vyeo kule lumumba lakini ni mmoja tu aliyebahatika kupata unaibu waziri na waliobakia waliishia kupata " kishika uchumba" tu na bado wanalia hadi leo ila milango ya Chadema iko wazi kwao kwani nyumbani ni nyumbani tu.

Source ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Kweli nimeamini Maendeleo hayana vyama,
Hadi wewe leo umeleta habari hii?
 
Warudi kwani nyumbani kumenogo
Kigogo wa chadema ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huko Tabata na mjumbe wa mkutano mkuu ambaye alihamia CCM mwaka jama amerejea rasmi Ufipa.

Akiongea na waandishi wa habari meya wa ubungo mh Jacob amesema kigogo huyo amerejea baada ya CCM kushindwa kumtimizia yale waliyomuahidi.
Bonny amesema wanachadema waliohamia CCM wengi wameomba kurudi na kwa kuanzia vigogo wengine watatu watarejea hivi karibuni.

Kwa kumalizia Meya Bonny amesema wahamaji hao waliahidiwa fedha na vyeo kule lumumba lakini ni mmoja tu aliyebahatika kupata unaibu waziri na waliobakia waliishia kupata " kishika uchumba" tu na bado wanalia hadi leo ila milango ya Chadema iko wazi kwao kwani nyumbani ni nyumbani tu.

Source ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
 
Mkuu Meya hawa wasaliti wasipokelewe bila masharti , niiteni niwachunguze , ninao uzoefu mkubwa sana wa kuchunguza wasaliti wa namna hii , hasa hawa wanaojiuza
Hicho kidomo chako Cha kupingana na juhudi kubwa aliyofanya huyo meya utaja jikuta unafukuzwa chadema.Wewe kigogo gani umemtoa CCM ukampeleka chadema .umekalia kidomo Domo tu wakati wenzio Akina meya Jacob wanatoa vigogo CCM kuwapeleka chadema
 
Kigogo wa chadema ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huko Tabata na mjumbe wa mkutano mkuu ambaye alihamia CCM mwaka jama amerejea rasmi Ufipa.

Akiongea na waandishi wa habari meya wa ubungo mh Jacob amesema kigogo huyo amerejea baada ya CCM kushindwa kumtimizia yale waliyomuahidi.
Bonny amesema wanachadema waliohamia CCM wengi wameomba kurudi na kwa kuanzia vigogo wengine watatu watarejea hivi karibuni.

Kwa kumalizia Meya Bonny amesema wahamaji hao waliahidiwa fedha na vyeo kule lumumba lakini ni mmoja tu aliyebahatika kupata unaibu waziri na waliobakia waliishia kupata " kishika uchumba" tu na bado wanalia hadi leo ila milango ya Chadema iko wazi kwao kwani nyumbani ni nyumbani tu.

Source ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Hivi huyu kigogo ana familia kweli?? Maana ameonyesha udhaifu mkubwa sana kias kwamba naweza kusema hana msimamo katika maamuzi anayofanya na kupelekwa na tamaa za fedha na high profile.
 
Back
Top Bottom