Kigogo mwingine wa chadema apandishwa kizimbani Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigogo mwingine wa chadema apandishwa kizimbani Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwan mpambanaji, Jan 28, 2011.

 1. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #1
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mwenyekiti wa chadema mkoa wa arusha amepandishwa kizimbani leo,akiunganishwa na kesi inayowakabili viongozi na wabunge wa chama hicho,kuhusu tukio la tarehe 5.
   
 2. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #2
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kadiri Hawa wajinga wanavyowakamata viongozi wa CHADEMA ndivyo hivyo hivyo CHADEMA inavyoimarika na kupata sifa mbele za watu. Wajue/watambue kuwa wanaisafishia CHADEMA njia....si si em bye bye 2015!!!!!!!!!!!!!HEREEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE:clap2:
   
 3. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #3
  Jan 28, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Waache CCM iwapeleke viongozi wa Chadema kwenye mahakama zao, huku wananchi tumeshamaliza kuihukumu CCM. Kwa kuanza hatuitaki CCM huku kwa wananchi.
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  Jan 28, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Madikteta wote duniani walitumia/wanatumia mbinu kama hizi. Ole wao maana wanatutawala kwa mabavu ipo siku tatawa-tunisia wao na familia zao!
   
 5. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #5
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  CHADEMA hakuna vigogo, bali kuna makamanda wapiganaji, na mwenyekiti wa chadema Arusha anaitwa Samson Mwigamba, kila jumatano huwa anatoa makala zake kwenye gazeti la Tanzania daima kwenye ukurasa wa kalamu ya Mwigamba, je ndio huyo aliyepelekwa mahakamani? uwe unajitahidi kuleta habari kwa ukamilifu na sio habari nusunusu.
   
 6. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndio huyo Samson Mwigamba ameunganishwa kwenye kesi
   
 7. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #7
  Jan 28, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  CCM na serikali yake wanatapatapa sana....yaani kwa maneno mengine ni kuwa wanaweweseka...hata wawafunge wote tutawapigia kura wakiwa huko huko jela
   
 8. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #8
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  source tafadhali
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,280
  Trophy Points: 280
  Mkuu kuna vtu vya kuuliza source, sio taarifa kama hizi, hata yeye alieanzisha thread anaweza kuwa source tosha kabisa. hata wewe kama upo Dar ukiwa maeneo ya mahakama ya kisutu kama kuna mtu maarufu anapandishwa kizimbani utajuwa tu mkuu, kwahiyo kwa habari hii huna haja ya kuuliza source.
   
 10. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #10
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Amekaa some like two hrs lockup, kwa sasa makamanda wameshamdhamini yuko nje baada ya kusomewa mashtaka
   
 11. M

  MwanzoMwisho Member

  #11
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ...Chadema hakuna kigogo wala vigogo kuna wapambanaji na wapigania haki wa ukweli...
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Jan 28, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Wapigania haki waendendelee kuonewa hakuna tatizo. Hukumu ya ujambazi huu wa CCM 2015.
   
 13. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #13
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Shitaka lenyewe La kipuuzi,na nguvu ya umma imemdhamini,source ni mimi mwenyewe
   
 14. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #14
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  HTML:
  
  
  Kwa nini hukumu 2015 wakati nafasi tunayo kabla ya 2015?
   
 15. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #15
  Jan 28, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Mimi naona 2015 ni mbali sana, we have to something kuoko taifa hili..
   
 16. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #16
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  waache wawapandishe maana ndio watakao washusha uchaguzi ukifika
   
 17. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #17
  Jan 28, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  tufanye kama misri
   
 18. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #18
  Jan 28, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  They know nothing
   
 19. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #19
  Jan 28, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ndugu mungi hawa jamaa 2015 hawafiki hata kidogo.
   
 20. Kagemro

  Kagemro JF-Expert Member

  #20
  Jan 28, 2011
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 45
  Taarifa hii ni ya ukweli kwani imetoka ndani ya chadema,Nchi hii inamatatizo sana.
   
Loading...