Kigogo Mwingine wa CCM Arusha amfuata Millya Chadema

Hivi jamani, nani asiyependa changes? hata mimi hapa nyumbani kwangu, mke wangu anajua kabisa huyu baba anataka mabadiliko katika ndoa, kimaendeleo, kiafya, kielimu na kadhalika sembuse KATIKA JAMII YA WATANZANIA ambao wanateseka na hawajui hatma yao?

Ukiona tairi la gari lako lina slow pancha na haijazibwa huoni kuna hatari mbele? unataka hazard gani tena ili ujue kuna hatari? Tairi la gari uliyopanda ni kipara, dereva kalewa, mwendo wake speed 240 hadi taa ya kuashiria (red) inakuonyesha, alarm pia huisikii?..basi kama ni "sikio la kufa halisikii dawa" tujue.
 
Back
Top Bottom