Kigogo CRDB na mtandao wa wizi wa magari

Wameiba nini?

Ni Wachagga tu wanaiba?

Vyasaka mna taabu kweli: badala ya kutafuta mali mnawatafuta Wachagga wakati sisi Wachagga tupo busy kutafuta Mali.

Oooh Wachagga wezii sijui ninii!

Tukamateni basi ninyi mbw***.

Umasikini na inferiority complex inawasumbua sana.

Niambie ni Wachagga wangapi wamepatwa na hatia na wapo jela!

Wachagga wangapi walikuwa kwenye kashfa na wakahukumiwa na wapo jela.

Zungumza kwa data siyo unafiki wenu na husda uliyojaa chuki na fitna zenu za kishenzi
OMO
 
Taarifa kama hizi zimekaa kimbea mbea na kinafki nafki..kama kweli unataarifa sahihi na vyanzo vyako ni legit,kwanini usiende kwa RPC pale moshi umpe?
Huoni kwamba una mhukumu mtu kabla hajawa guilty? Je kama hazina ukweli,huoni utakuwa umechafua image yake ilhali yeye ni mtumishi anayeihudumia taasisi nyeti ya fedha? Ana familia,ana majukumu, please, tumia busara kabla hujaandika tu.
Magharibi,ungefunguliwa mashtaka kwa deformation na ungewajibika kwa aina hii ya "here says".
 
Well said!
 
Back
Top Bottom