Kigogo CCM ashinikiza mchapaji kuharibu nakala 10,000 za Raia Mwema

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233

Habari iliyohusisha familia ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, imeibua utata mkubwa baada ya kuibuka kwa vitisho vilivyosababisha kuzuiwa kuchapwa kwa gazeti la Raia Mwema toleo lililopita Namba 161 katika mazingira ya kutatanisha; huku habari hiyo hiyo ikikanushwa kwenye gazeti jingine hata kabla haijatoka.

Utata huo ulisababisha uongozi wa Imprint iliyopo chini ya kampuni ya Jamana Printers kusitisha ghafla kuendelea kuchapwa kwa gazeti la Raia Mwema ikiwa tayari limeshachapwa nakala 10,000 katika mazingira yaliyoonyesha kuwapo shinikizo zito kutoka kwa kigogo mmoja aliye karibu na mwanasiasa huyo kutaka habari inayomhusu Lowassa iondolewe ndipo gazeti lichapwe.

Raia Mwema ambalo lina makubaliano maalum na wachapaji hao lilistushwa na uamuzi huo wa ghafla wa wachapaji hao hasa baada ya uamuzi huo kuambatana na hali ya woga mkubwa uliotawala wafanyakazi wa kiwanda hicho usiku wa Jumanne ya wiki iliyopita………

……..kutokana na amri hiyo wachapaji, wafanyakazi wote wa Raia Mwema na watu wengine wote waliokuwamo kiwandani wakati huo waliamriwa kutoka eneo la uchapaji na kupekuliwa kuhakikisha hawabebi hata nakala moja ya gazeti hilo.

Habari zinasema kuwa nakala 10,000 ambazo tayari zilishachapwa ziliharibiwa chini ya uangalizi mkali wa maofisa wa kiwanda hicho ili kuhakikisha kuwa haziingii kwenye soko, na hivyo habari hiyo kusomwa na wananchi.

Hata hivyo, wakati uongozi wa Raia Mwema ukihangaika kutafuta mahali pengine pa kuchapa, ilibainika kwamba kigogo huyo pamoja na Mbunge mmoja walikuwa tayari na nakala ya gazeti hilo na ilidhihirika siku iliyofuata baada ya gazeti la Mtanzania lenye uhusiano wa karibu na kigogo huyo kuchapisha habari iliyokanusha habari hizo kabla hata ya habari husika kuchapishwa…………………

Habari zaidi katika Raia Mwema ya leo.
 
habari iliyohusisha familia ya waziri mkuu aliyejiuzulu, edward lowassa, imeibua utata mkubwa baada ya kuibuka kwa vitisho vilivyosababisha kuzuiwa kuchapwa kwa gazeti la raia mwema toleo lililopita namba 161 katika mazingira ya kutatanisha; huku habari hiyo hiyo ikikanushwa kwenye gazeti jingine hata kabla haijatoka.

Utata huo ulisababisha uongozi wa imprint iliyopo chini ya kampuni ya jamana printers kusitisha ghafla kuendelea kuchapwa kwa gazeti la raia mwema ikiwa tayari limeshachapwa nakala 10,000 katika mazingira yaliyoonyesha kuwapo shinikizo zito kutoka kwa kigogo mmoja aliye karibu na mwanasiasa huyo kutaka habari inayomhusu lowassa iondolewe ndipo gazeti lichapwe.

Raia mwema ambalo lina makubaliano maalum na wachapaji hao lilistushwa na uamuzi huo wa ghafla wa wachapaji hao hasa baada ya uamuzi huo kuambatana na hali ya woga mkubwa uliotawala wafanyakazi wa kiwanda hicho usiku wa jumanne ya wiki iliyopita………

……..kutokana na amri hiyo wachapaji, wafanyakazi wote wa raia mwema na watu wengine wote waliokuwamo kiwandani wakati huo waliamriwa kutoka eneo la uchapaji na kupekuliwa kuhakikisha hawabebi hata nakala moja ya gazeti hilo.

Habari zinasema kuwa nakala 10,000 ambazo tayari zilishachapwa ziliharibiwa chini ya uangalizi mkali wa maofisa wa kiwanda hicho ili kuhakikisha kuwa haziingii kwenye soko, na hivyo habari hiyo kusomwa na wananchi.

Hata hivyo, wakati uongozi wa raia mwema ukihangaika kutafuta mahali pengine pa kuchapa, ilibainika kwamba kigogo huyo pamoja na mbunge mmoja walikuwa tayari na nakala ya gazeti hilo na ilidhihirika siku iliyofuata baada ya gazeti la mtanzania lenye uhusiano wa karibu na kigogo huyo kuchapisha habari iliyokanusha habari hizo kabla hata ya habari husika kuchapishwa…………………

habari zaidi katika raia mwema ya leo.

Hii ndio matokeo ya a kuabudu mafisadi... Huwa hawa wanaongoza dunia watakalo linafanyika hapa duniani kwa gharama yoyote
 
Habari iliyohusisha familia ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, imeibua utata mkubwa baada ya kuibuka kwa vitisho vilivyosababisha kuzuiwa kuchapwa kwa gazeti la Raia Mwema toleo lililopita Namba 161 katika mazingira ya kutatanisha; huku habari hiyo hiyo ikikanushwa kwenye gazeti jingine hata kabla haijatoka.

Utata huo ulisababisha uongozi wa Imprint iliyopo chini ya kampuni ya Jamana Printers kusitisha ghafla kuendelea kuchapwa kwa gazeti la Raia Mwema ikiwa tayari limeshachapwa nakala 10,000 katika mazingira yaliyoonyesha kuwapo shinikizo zito kutoka kwa kigogo mmoja aliye karibu na mwanasiasa huyo kutaka habari inayomhusu Lowassa iondolewe ndipo gazeti lichapwe.

Raia Mwema ambalo lina makubaliano maalum na wachapaji hao lilistushwa na uamuzi huo wa ghafla wa wachapaji hao hasa baada ya uamuzi huo kuambatana na hali ya woga mkubwa uliotawala wafanyakazi wa kiwanda hicho usiku wa Jumanne ya wiki iliyopita………

……..kutokana na amri hiyo wachapaji, wafanyakazi wote wa Raia Mwema na watu wengine wote waliokuwamo kiwandani wakati huo waliamriwa kutoka eneo la uchapaji na kupekuliwa kuhakikisha hawabebi hata nakala moja ya gazeti hilo.

Habari zinasema kuwa nakala 10,000 ambazo tayari zilishachapwa ziliharibiwa chini ya uangalizi mkali wa maofisa wa kiwanda hicho ili kuhakikisha kuwa haziingii kwenye soko, na hivyo habari hiyo kusomwa na wananchi.

Hata hivyo, wakati uongozi wa Raia Mwema ukihangaika kutafuta mahali pengine pa kuchapa, ilibainika kwamba kigogo huyo pamoja na Mbunge mmoja walikuwa tayari na nakala ya gazeti hilo na ilidhihirika siku iliyofuata baada ya gazeti la Mtanzania lenye uhusiano wa karibu na kigogo huyo kuchapisha habari iliyokanusha habari hizo kabla hata ya habari husika kuchapishwa…………………

Habari zaidi katika Raia Mwema ya leo.

Du!! kweli mafisadi wana nguvu ya ajabu!
 
Lakuvunda halina ubani! Watabana iko siku wataachia tu! Kila kitu kinamwisho... ikiwa pamoja na UFISADI wao!
 
Halafu eti CCM wanajidanganya eti nchi inayo RAIS!!!!! Haina rais, ila ni puppet tu anyeendeshwa na wahindi wachache wakishirikiana na Waafrika wasaliti. Huyo Rostam ana nguvu gani ya kuamuru kitu kama hicho? Hakuna vyombo vya dola husika ambavyo ange-petition kwao ili kufuatana na sheria na kanuni vizuie uchapishaji wa gazeti?

CCM -- kwa kumuogopa huyu fisadi, mnajiondolea ka-uhalali kalikobakia ka kutawala.
 
Mtu mwenye uwezo wa kubuni mradi wa bilioni 70 hawezi kushindwa kuzuia kuchapishwa nakala za gazeti.

hata hivyo mimi nina nakala ya gazeti.

imekula kwao hao mafisadi
 
Halafu eti CCM wanajidanganya eti nchi inayo RAIS!!!!! Haina rais, ila ni puppet tu anyeendeshwa na wahindi wachache wakishirikiana na Waafrika wasaliti. Huyo Rostam ana nguvu gani ya kuamuru kitu kama hicho? Hakuna vyombo vya dola husika ambavyo ange-petition kwao ili kufuatana na sheria na kanuni vizuie uchapishaji wa gazeti?

CCM -- kwa kumuogopa huyu fisadi, mnajiondolea ka-uhalali kalikobakia ka kutawala.

Yaani hadi sasa hakuna hata chombo kimoja cha dola kimeingilia kati sakata hili la uvunjifu wa sheria wa wazi! Wote-- IGP, DCI, Director of Imtelligence wamo ndani ya mfuko wa RA. Inasikitisha sana!!

Hebu tu fikiria ingekuwa ni Mbowe au Dr Slaa ndiyo kenda kiwandani kusimamisha na kuharibu gazeti lililokuwa na habari mbaya dhidi yake!
 
CCM kweli inaendeshwa na majambazi. Duh!

Raia mwema na waturushie nakala kwenye wikileaks basi :)
 
Habari iliyohusisha familia ya Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, imeibua utata mkubwa baada ya kuibuka kwa vitisho vilivyosababisha kuzuiwa kuchapwa kwa gazeti la Raia Mwema toleo lililopita Namba 161 katika mazingira ya kutatanisha; huku habari hiyo hiyo ikikanushwa kwenye gazeti jingine hata kabla haijatoka.

Utata huo ulisababisha uongozi wa Imprint iliyopo chini ya kampuni ya Jamana Printers kusitisha ghafla kuendelea kuchapwa kwa gazeti la Raia Mwema ikiwa tayari limeshachapwa nakala 10,000 katika mazingira yaliyoonyesha kuwapo shinikizo zito kutoka kwa kigogo mmoja aliye karibu na mwanasiasa huyo kutaka habari inayomhusu Lowassa iondolewe ndipo gazeti lichapwe.

Raia Mwema ambalo lina makubaliano maalum na wachapaji hao lilistushwa na uamuzi huo wa ghafla wa wachapaji hao hasa baada ya uamuzi huo kuambatana na hali ya woga mkubwa uliotawala wafanyakazi wa kiwanda hicho usiku wa Jumanne ya wiki iliyopita………

……..kutokana na amri hiyo wachapaji, wafanyakazi wote wa Raia Mwema na watu wengine wote waliokuwamo kiwandani wakati huo waliamriwa kutoka eneo la uchapaji na kupekuliwa kuhakikisha hawabebi hata nakala moja ya gazeti hilo.

Habari zinasema kuwa nakala 10,000 ambazo tayari zilishachapwa ziliharibiwa chini ya uangalizi mkali wa maofisa wa kiwanda hicho ili kuhakikisha kuwa haziingii kwenye soko, na hivyo habari hiyo kusomwa na wananchi.

Hata hivyo, wakati uongozi wa Raia Mwema ukihangaika kutafuta mahali pengine pa kuchapa, ilibainika kwamba kigogo huyo pamoja na Mbunge mmoja walikuwa tayari na nakala ya gazeti hilo na ilidhihirika siku iliyofuata baada ya gazeti la Mtanzania lenye uhusiano wa karibu na kigogo huyo kuchapisha habari iliyokanusha habari hizo kabla hata ya habari husika kuchapishwa…………………

Habari zaidi katika Raia Mwema ya leo.

nimekubali
 
Hebu toa hard evidence, maana hili sakata tulishalisoma LAKINI CHA KUSHANGAZA GAZETE LILIKUWA KITAA tena kama njugu. So walichapa wapi? Je mwenye gazete ali/amefika uamuzi gani?

Walichapa kwingine kwa haraka haraka ili kuwahisha soko la Dar. Mikoani lilichelewa kidogo. Si unajnua Jamana Printers ni ya mdosi kwa hivyo ni dugu moja na huyo Muirani.

Hebu niambie iwapo gazeti hilo walichapisha kiwanda cha Mwananchi au cha Business Times. Angewezaje RA kupeleka pua yake kule?
 
Hadi pale wabongo watakapoingia mitaani kuwakana hawa mafisadi nasikitika kusema kwamba tuna safari ndefu sana! Matumaini yangu yapo kwenye KATIBA! Tukifanya kazi bila kulala kuleta katiba mpya tutakuwa tumefanya jambo la maana ila kwa sasa mafisadi wanalindwa kama mboni la macho ya jei kei! Katiba is the only way out!
 
Sisi wengine tulilisoma gazeti hili kwenye mtandao, nawapongeza Rai Mwema kwa kuharakisha ku-release soft copy haraka iwezekanavyo.
 
hii nchi jamani,wananchi tumelala sana ndio maana tunashikwa hata sehemu sizoruhusiwa,hivi kwanini tusiamke jamani? mi nimechoka sasa naamuwa ikiwezekani tuingie msituni tukirudi tunaweka serikali ya idd amini kwa siku 30 tuuuu then tuone kama kuna kafisadi katafukuta ama hata kukohowa

jamani tumechoka na hawa mungu watu sasa basi kwani wanadiliki kumwaga unga wa mtu? kwani kuharibu nakala za gazeti ni kuharibu kazi ya mtu inayo mpa kipato

TUMECHOKA NA HAWA JAMAAAAAAAAAAAA
MAPINDUZIIIIIII DAIMAAAAAA
 
Hawa mafisadi wanachekewa na kupigiwa saluti na serikali yetu na vyombo vyake vya dola.
jamani kwa nini sisi wananchi wenye nchi TUSIWATENDE hawa viwavi????
 
mafisadi bwana wanaleta RAHA nchini, akili zinafanya kazi!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom