Kigogo CCM ahusishwa na Nyara zilizokamatwa

Ijabu Issa

Member
Apr 29, 2008
56
19
"KULIKONI, Jumatano 4, 2008
Na Gordon Kalulunga, Mbeya

Shehena kubwa ya pembe za ndovu imekamatwa mkoani Iringa ikisafirishwa kutoka mkoani Mbeya kupelekwa Dar es Salaam ili ipelekwe nje ya nchi.

Tukio hilo limetokea mkoani humo usiku wa kuamkia jana wakati wa harakati za kutorosha pembe hizo zilizokuwa zimebebwa kwenye gari kutoka Wilaya ya Mbarali, Mbeya ambako imeelezwa kuwa ndiko yaliko maficho ya nyara nyingi za Serikali zinazoibwa hapa nchini.

Taarifa za uchunguzi zimebaini kwamba nyara hizo ni mali ya kiongozi mmoja mwandamizi wa Chama Cha Mapinduzi ambaye anadaiwa kuifanya biashara hiyo kwa muda mrefu akishirikiana na viongozi kadhaa wa Wizara ya Maliasili na Utalii na wengine kutoka katika taasisi nyeti za serikali.

Akizungumza kwa njia ya simu na KULIKONI, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Advocate Nyombi, alikiri kukamatwa kwa nyara hizo usiku wa kuamkia jana baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema.

Kamanda Nyombi alipoombwa taarifa zaidi juu ya kukamatwa kwa watu hao alisema angelizitoa baadaye baada ya kuzihesabu na kujua nani mmiliki wa nyara hizo.

Aidha, habari kutoka serikalini zimesema kuwa kiongozi huyo mwandamizi wa CCM anatumiwa kama chambo na 'wakubwa' na kwamba mtandao wao ni mkubwa.

Kiongozi mmoja kutoka katika Wizara ya Maliasili na Utalii Dar es Salaam aliyekataa kutajwa jina lake gazetini alisema kwamba mtandao huo ni hatari na huenda ndio uliohusika kuwaua maofisa wa wanyamapori katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

Uchunguzi umebaini kuwa pembe hizo za ndovu kabla ya kusafirishwa zilitunzwa eneo la Lujewa, wilayani Mbarali, mkoani Mbeya ambako imebainika kuwa ndiko mahala pa siri kutunza nyara za serikali kutoka sehemu mbalimbali nchini.

Imebainika kuwa kati ya wanaoshikiliwa ni mdogo wa kigogo wa CCM mkoani Mbeya ambaye alimpigia kaka yake simu na baadaye kigogo huyo alikwenda mkoani Iringa akiwa na kitita cha zaidi ya milioni 50 akitaka kutoa rushwa kwa watendaji wa Jeshi la Polisi kabla ya suala hilo halijafahamika kwa wanahabari.

Sanjari na hayo, KULIKONI limeelezwa kuwa kuna vibali vya kampuni za uwindaji vilivyotolewa na wizara husikakatika kampuni zenye utata mkubwa katika usajili na utendaji wake.

Kufuatia tukio hilo wadau mbalimbali mkoani hapa walioongea na gazeti hili wamemtaka Rais Jakaya Kikwete kuwaondoa haraka madarakani wale wote waliotajwa na wanaoendelea kutajwa kuhusika katika kuhujumu maliasili nchini".

Nilikuwa Zanzibar ambako kutokana na matatizo ya umeme hata magazeti hatusomi. Nimeingia Dar leo na kuona gazeti hili la KULIKONI, nikaona vema habari hii ipate busara za wanaJF. Ijabu
 
Hizi habari kama kitendawili sijui lini tutajifunza kuwa sio habari! Kama huna ujasiri wa kuandika basi huna habari, kiongozi wa ngazi za juu ndio nani???
Watu wana assignments nyingi sasa mkianza kuongeza assignments za kufumbua mafumbo maisha yanakuwa magumu tu na mnakuwa hamjatatua jambo.
Leteni majina ya hao vigogo washutumiwa.
 
UDAKU........
 
aisee, sioni cha kuongezea ! maana yote umeyasema mzee !
 
hawa binadamu kama wameiba basi wameiba kwa sababu ni tabia zao na sio kwa sababu ni wanaccm.... bahati mbaya ni kwamba ccm haiscreen tabia ya mtu yoyote na haitoweza kufanya hivyo !
 
Wataizima tuu si ndio zao hizo hata penye ukweli.....huwa wanaupindisha,..ngoja tuone mwisho wake .......
 
Jamani kweli mi nadhani huu pia wakati mwingine ni kweli tuuite udaku. Maana wana habari wamezidi sana kutuandikia vitu visivyoeleweka. Kwa nini waseme kiongozi fulani kama wanamfahamu au wana habari zake? si bora tu wamtaje kama wana uhakika kwamba Mr fisadi fulani kanaswa na nyara za serikali? Ya nini kuandika kwa mafumbo? hii habari inabaki incomplete
 
Huu si udaku ni kweli yametokea na tuhuma hizo ni za kweli.
 
Mods mgerudisha kunakofaa maana sio udaku imeshdhibitishwa kuwa mwenyekiti wa CCM Mbeya ndo anausika angalieni magazeti ya leo.
 
Sasa kiko wapi? Mliokuwa mnasema hizi ni habari za udaku, mmesoma This Day na Kulikoni leo? Nawab Mulla, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mbeya, anatuhumiwa kwa ujangili! Kwa wakazi wa Mikoa ya Mbeya na Iringa, hii si habari mpya. Familia ya Mulla ambayo ni sehemu ya Familia ya Rostam Aziz, imekuwa ikijihusisha na biashara hiyo haramu kwa muda mrefu sasa! Angalieni rekodi za Polisi, mzee huyu alishatuhumiwa kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya! Nyerere alimjua na akampiga marufuku kupata uongozi ndani ya CCM. Wamekuja wajanja, wamempa amnesty. Sasa kawaumbua!
Ijabu
 
Na huyu ndiye aliyekuwa anagomea mapokezi ya DR. Mwakiembe kule Mbeya!

Kumbukeni hawa ni wa Maburushi kutoka Iran.
 
Kugomea kwake mapokezi ya Mwakyembe kule Mbeya kulitiwa pia mafuta na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Bw. Mwakipesile ambaye Mwakyembe alimnyang'anya tonge la Ubunge.
 
Weka mambo hadhari kijana si unajua zama za ukweli na uwazi hizi?? au unasubiri Nyombi akusaidie???
 
Back
Top Bottom