Kigogo afia hotelini

Comi

JF-Expert Member
Oct 2, 2011
3,328
955
Kwa taarifa nilizozipokea hivi punde toka kwa jirani yangu amenitaarifu kuwa kigogo mmoja wa chama fulani cha siasa hapa nchini amekutwa amefia katika chumba alimokuwa amefikia. Alikuwa amefika katika hoteli moja mpya iliyoko mtaa wa makao mapya mkabala na seuri baa ijulikanayo kama annex palace. Aidha jirani yangu amedai kuwa waandishi wa habari pamoja wananchi wamezuiliwa kuingia huko ndani. Mda huu maiti imeshapelekwa katika chumba cha kuhifadhia maiti katika hosipitali ya mount meru.
 
Kwa taarifa nilizozipokea hivi punde toka kwa jirani yangu amenitaarifu kuwa kigogo mmoja wa chama fulani cha siasa hapa nchini amekutwa amefia katika chumba alimokuwa amefikia. Alikuwa amefika katika hoteli moja mpya iliyoko mtaa wa makao mapya mkabala na seuri baa ijulikanayo kama annex palace. Aidha jirani yangu amedai kuwa waandishi wa habari pamoja wananchi wamezuiliwa kuingia huko ndani. Mda marehemu ameshapelekwa katika chumba cha maiti cha mount meru.

Marehemu huwa hawafichwi! BTW R.I.P kigogo
 
Nini mana ya. Hii thread kma unatupa info nusunusu kma ni siri kutoa hlo jina basi itakuwa unafki ww kuja kupost humu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom