Kigezo cha miss Tanzania ni lazima ajue english,mbona miss world wa sasa ajui english kabisa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigezo cha miss Tanzania ni lazima ajue english,mbona miss world wa sasa ajui english kabisa?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Money Stunna, Nov 8, 2011.

 1. Money Stunna

  Money Stunna JF-Expert Member

  #1
  Nov 8, 2011
  Joined: Aug 9, 2011
  Messages: 13,105
  Likes Received: 281
  Trophy Points: 160
  je tanzania tunakosea kutumia lugha ya english kama kigezo cha kuchagua miss tanzania? sababu warembo wengi english aipandi kichwan kwa wale waliosoma shule za sikinde,je tuache kutumia kigezo cha english kuchagua miss tz
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Wa TZ cc ni malimbukeni sana,English ni lugha tu hata kenya machokoraa(ombaomba wa mtaani) wanaongea kiinglish vizuri kigezo cha miss wetu ajue kingeleza ili atimize masharti ni kumnyima haki yake ya msingi,je kama anajua kiswahili na kifaransa je? Uncle Lundenga ajipange sana.
   
Loading...