Kigezo cha "experience" wakati wa kuomba kazi

Boeing787-8

JF-Expert Member
Aug 16, 2018
798
843
Wakuu poleni na shughuri za kila siku, katika nafasi nyingi za kazi kwenye makampuni na mashirika mbalimbali, unakuta wanaweka na kigezo cha experience labda for 2'3'4 years, lakini tatizo linakuja kwa sisi graduate unakuta kazi unaiweza lakini kigezo iki kinakuwa kikwazo kwako kupata ajira,

Sasa kuna shirika la kimataifa limetangaza nafasi za kazi uku Tanzania, hili shirika litadeal na watanzania kwa kushilikiana na wajerumani, ni shilika kubwa sasa pamoja na kutangaza nafasi za kazi kwa watanzania wanataka muombaji awe na 4 years in experience, Tangu watoe tangazo walioview tangazo ni kama 200 lakini applivation ni 0(hakuna aliye apply) ni deadline inaelekea mwisho, je mimi ambaye sina experience nkiapply wanaweza kunipa kazi, na je kama wanaoitajika kwa sifa zinazoitajika hawakuomba na mimi nkaomba wanaweza kunipa hiyo nafasi, wakuu mwenye ushauri please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaribu mkuu kwani kama Huna experience wamesema watakufunga uki apply? ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Back
Top Bottom