Kigezo cha age limit katika ajira

Ng'ongoampoku

Member
Sep 18, 2012
47
9
HABARI WANAJAMIIFORUM, SIKU HIZI KATIKA AJIRA ZINAZOTANGAZWA HUWA WANAWEKA KIGEZO CHA AGE LIMIT, MFANO NOT MORE 30YRS OR 35YRS. MIMI SIJUI NA NAPENDA KUJUZWA KIGEZO CHA AGE LIMIT KINASAIDIA NINI, KWA MFANO TRA WALITANGAZA KAZI KIGEZO MOJAWAPO ILIKUWA NI AGE LIMIT 30YRS, KAMA UNA VIGEZO VYOTE AGE LIMIT INASAIDIA NINI? AWE NA GPA YA SECOND UPPER CLASS, AWE AMEMALIZA CHUO KUANZIA MWAKA 2010, AWE AMESOMA POSTGRADUATE, AU KOZI YOYOTE, HIVO VIGEZO VIPO LAKINI AGE LIMIT NDIO HAKUNA WHY?

Pili kama kwenye ajira age limit ni 30yrs basi na unapotaka kusoma pia wasiruhu watu ambao age yao imekwenda juu?

tafadhali nijuzeni age limit inasaidia nini? najua wataalamu wapo watanijuza lakni dont challenge kwamba unasoma sio kuajiriwa bali kujiajiri

\gud day
 
Hii ni discrimination ya wazi, na inabidi mtu awapeleke mahakamani. Hata mimi huwa nashangaa ninapoona criteria za kibaguzi namna hiyo, nishawahi kuona pia ambayo inasema inabidi uwe umesoma nje ya nchi, yaani wabongo wanabagua bila hata kujishtukia.
 
mbona mkienda dukani mnanunua magari mapya na mnayabagua yaliyochokaa. umri ukiwa mkubwa sana ni shidaaa
 
inasaidia kwenye ufanisi wa kazi ..mfano below 30 hawana majukumu ya familia...na vilevile inatoa chance kwa vijana zaidi ndo wenye nguvu na rahisi kujengeka na kutumika miaka mingi zaidi ofisini....watu zaidi ya 40 wazito sana na
wanamambo mengi sana na target yao kubwa inakuwa feza na sio kuijimarisha katika kazi
 
Hii ni discrimination ya wazi, na inabidi mtu awapeleke mahakamani. Hata mimi huwa nashangaa ninapoona criteria za kibaguzi namna hiyo, nishawahi kuona pia ambayo inasema inabidi uwe umesoma nje ya nchi, yaani wabongo wanabagua bila hata kujishtukia.


Ninachojua.

kampuni inaangalia umri wa wafanyakazi wake kwa ajiri ya succession plan ili isifike muda watu wote waka staafu

pili kuna senior position zinahitaji maturity age flani ata kama elimu mnalingana.

kuna aina za kazi zina hitaji vijana ambao bado awaja jialocate mahali flani kimaisha ili suala la uhamisho.safari naengineyo lifanyike vizuri.ila ni kwa nia njema kutaja umri.
 
Back
Top Bottom