Kiganda: Kuna haja wafanyabiashara kujua maneno mepesi

kokudo

JF-Expert Member
Oct 26, 2010
2,537
1,653
Kumekuwa na changamoto kwenye lugha ya Kiganda, tafadhali anayejua maneno mepesi yatakayomsaidia Mfanyabiashara kubargain biashara kwa lugha hii anisaidie.
 
Wewe ongea kiswahili ili nawao waweze kujifunza Kiswahili lazima.
 
Back
Top Bottom