Kigamboni: Watuhumiwa kutandaza mabomba na kuiba mafuta yanayoenda bandarini

Ok.....wawe wanaambiwa wameanza Jana au juzi au mwaka Jana au mwaka juzi au hata wakati was JK au Mkapa au Mwinyi au hata wakati was Nyerere nadhani Hawa jamaa wanabambikiwa tu...sisi tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi...waachiwe tu na wafanye biashara ya mafuta ...kukamatwa kwao kutaathiri biashara ya mafuta na hasa huko vijijini au mikoani...watu wanaweza kufunga vituo vya mafuta kwa kukosa mafuta .
Nakuelewa Sana ,tena asiguswe ,analipa Kodi za Halali ,ametoa ajira Kwa watanzania
 
Nakuelewa Sana ,tena asiguswe ,analipa Kodi za Halali ,ametoa ajira Kwa watanzania
Kabisa, kabisa kabisa tuwache kwani wanaweza kukimbia nchi na kufunga biashara...Hii mbaya Sana kwa hakika...
 
Ok.....wawe wanaambiwa wameanza Jana au juzi au mwaka Jana au mwaka juzi au hata wakati was JK au Mkapa au Mwinyi au hata wakati was Nyerere nadhani Hawa jamaa wanabambikiwa tu...sisi tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi...waachiwe tu na wafanye biashara ya mafuta ...kukamatwa kwao kutaathiri biashara ya mafuta na hasa huko vijijini au mikoani...watu wanaweza kufunga vituo vya mafuta kwa kukosa mafuta .
Kuna wezi wafanyabiashara na kuna wanasiasa majambazi ambao hutumia madaraka yao aidha kufanya unyang'anyi ama hulinda wezi huku wakipora mali za wengine na HAPA NDIPO TOFAUTI ILIPO BAINA YA WAFANYABIASHARA WANAOTAKIWA NA NCHI NA WALE WANAOSHIRIKIANA NA WANASIASA KUIIBIA NCHI HUKU WAKILINDWA.
 
Kabisa, kabisa kabisa tuwache kwani wanaweza kukimbia nchi na kufunga biashara...Hii mbaya Sana kwa hakika...
Ukitaka kuwa "win" maskini onesha "unawachukia matajiri!!" Ukitaka kupendwa na mahasidi "... waruhusu wavunje sheria!!" Ukitaka kuonekana mwema "pita njiani ukinunua majogoo na kutapanya fedha za umma huku ukijisifia kutetea wanyonge waliopanga biashara zao barabarani pasipo kujali usalama wa maisha yao wala afya za walaji wa bidhaa zao!!"
 
Sio rahisi upigaji kama huo kusiwe na mkono wa vigogo serikalini.

Halafu wale teeth wa kipindi Cha mwenda zake walikuwa wapi? Maana tunaambiwa walikuwa hatari balsa

Hivi kwa mfano wangekuwa ni magaidi na kuamua kulipua hayo mapipa ya mafuta si walikuwa washafanikiwa.

Soma hapa

Wahusika wote wakamatwe, akiwemo mmiliki wa hiyo nyumba na wenye hayo malori kama yanavyoonekana hapo kampuni ya LAKE OIL.
 
Ukitaka kuwa "win" maskini onesha "unawachukia matajiri!!" Ukitaka kupendwa na mahasidi "... waruhusu wavunje sheria!!" Ukitaka kuonekana mwema "pita njiani ukinunua majogoo na kutapanya fedha za umma huku ukijisifia kutetea wanyonge waliopanga biashara zao barabarani pasipo kujali usalama wa maisha yao wala afya za walaji wa bidhaa zao!!"
Hayo mengine Mimi binafsi siyajui ...nasema nchi imefunguliwa kwani ilikuwa imefungwa . Hakuna kubambikia kesi watu...Kodi zilipwe kwa hiari kwani sisi tunawahitaji wafanyabishara...tunaingiza juice kutoka Kenya na maziwa pia ...na ngano pia...wafanyabishara wetu wachangamke..
 
Tatizo kubwa la mwendazake alikuwa anataka ale yeye tu ilhali wengine wanakufa na kwashakoo sasa kwa jinsi binadamu alivyo unapombana sana anatafuta njia mbadala ya kutokea, katika kipindi chake kulikua na chawa wake ambao uwepo wake ulikua unawanufaisha sana ndio maana hata walikua radhi kuua hata mtu aliyekua anampinga.

Ukweli ni kwamba aliharibu sana hili Taifa, Mungu wa mbinguni amesikia kilio cha watanzania akaamua kumchukua maana alikokua anaelekea kulikuwa siyoooo kabisaaaaa.
Wapare wanasema kuruka ruka hakusaidii matako yapoe baada ya kipigo cha mboko.

Magu ameenda, tunataka kuona maisha yakiboreka sasa.
Otherways, hizi tabia za kumtaja kila sehemu ni dalili ya kushindwa tayari.
 
Duh... Nchi hii!!! Mafuta yana faida sana! Manake gharama iliyo tumika kukamilisha huo wizi sio ndogo! Wangeweza kupata kifaa chao chenye security footage, nadhani ingekuwa bora zaidi.

Pili, kama wametoboa baada ya flow meter, ina maana kuna wahusika wa ndani ya bandari. Kwahiyo nao wachunguzwe!

List ni ndefu!

Sent from my S20 Ultra using JamiiForums mobile app
Acha wivu wa kike mkuu. Hata wakikamatwa you won't gain or lose anything. Kama wewe ni masikini utabaki kuwa masikini tu.
 
Wanapopeleka wataje watasaidia
Chukueni shell zote zilizohusika

Mzee wa Bamdari ndiokaisha hapohawamwachii
 
Hayo mengine Mimi binafsi siyajui ...nasema nchi imefunguliwa kwani ilikuwa imefungwa . Hakuna kubambikia kesi watu...Kodi zilipwe kwa hiari kwani sisi tunawahitaji wafanyabishara...tunaingiza juice kutoka Kenya na maziwa pia ...na ngano pia...wafanyabishara wetu wachangamke..
Ni lini Juice, viberiti, njiti za kuchokolea meno, viliacha kutoka huko unakokutaja? Samahani hivi la saba ulimaliza lini?
 
Ni lini Juice, viberiti, njiti za kuchokolea meno, viliacha kutoka huko unakokutaja? Samahani hivi la saba ulimaliza lini?
La Saba nilimaliza miaka 15 iliyopita...hivyo ulivyovitaja Baadhi vinatoka huko ila makubaliano mengine yamefanyika ili tuendelee kupata vingine...tumefungua nchi jamani, au hamjui?!...
 
1954 mkuu unabariki wizi?
Hapana sibariki wizi...kinachochanyika Sasa siyo wizi ...ni biashara...tunawahitaji zaidi wafanyabiashara kuliko wanavyotuhitaji sisi...nchi imefunguliwa...tunafanya biashara...tunahitaji wawekezaji ...na bidhaa Kama juice...pia tunahitaji ajira. Zikiwemo za ukorokoni...au mwenzangu unaelewa vipi...
 
Back
Top Bottom