Kigamboni bridge (job's posts) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kigamboni bridge (job's posts)

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by survivor03, Jan 18, 2012.

 1. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #1
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakuu mambo vipi? Kuhusu hizo ajira za wapiga kazi wanaotakiwa 3,000 ktk ujenzi wa hilo daraja , kuapply hizo kazi ni wapi?
   
 2. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #2
  Jan 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  uko fasta mkuu, ngoja tuwasubiri wanaofahamu
   
 3. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #3
  Jan 21, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hiyo issue ya ajira vipi ? Wapi tupeleke 'CV' zetu?
   
 4. Naibili

  Naibili JF-Expert Member

  #4
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 1,681
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  labda magufuli atakuwa na jibu la swali hilo! kwa nini asiulizwe moja kwa moja
   
 5. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #5
  Jan 22, 2012
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Nendeni CRJE ndo contractors
   
 6. Nang'olo Ntela

  Nang'olo Ntela Member

  #6
  Jan 22, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 98
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
   
 7. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #7
  Jan 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Karibuni CRJE,wakongwe tupooooo
   
 8. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #8
  Jan 22, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,326
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  So soon I guess to start the project with all 3000 workers. Mobilization would take time because of the nature of the project.
   
 9. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #9
  Jan 22, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hata kwangu leteni CV,ila tunalipa buku 1 per day regardless wewe graduate au nani,isipokuwa kuna nafasi ya ukuwadi mshahara ni milioni 1.5 sifa ni lazima ufahamu lugha za kichina,kiswahili na kiingereza
   
 10. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #10
  Jan 22, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Mtatapeliwa vijana. Hizo vacancy zitatangazwa na sub-contractors kwa nyakati tofauti.
  Ikifika zamu ya kupaka rangi mnistue.
   
 11. Eddy Love

  Eddy Love JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 12,877
  Likes Received: 6,320
  Trophy Points: 280
  Nani kasema kwnye ujenzi wanataka CV we subiri kubeba zege
   
 12. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,142
  Likes Received: 2,176
  Trophy Points: 280
  uzoefu usio pungua miaka 40 wadhamini ulete wazee wawili wenye zaidi ya miaka 80 na hao wazee waje na wazazi wao wote wawili

  Wenye mapengo hawahitaji cv waje tu kuanza kazi
   
 13. knownless

  knownless Senior Member

  #13
  Jan 23, 2012
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 116
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  bila kusahau added advantage ya kupiga mbizi kwa km zisizopungua 30 kwa saa.
   
 14. msani

  msani JF-Expert Member

  #14
  Jan 23, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  nimeishafeli tayari,yaani tangu nikue hapa dodoma sijaona ziwa wa bahari tofauti na kipindi cha mvua maji kujaa kwenye mashimo barabarani,kwani kina cha maji kikoje mkuu ili niangalie kama naweza jaribu ingawa sijui na hii form two itakuwa added advantage kwenye zege
   
 15. yaser

  yaser JF-Expert Member

  #15
  Jan 23, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 1,373
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  ua not serious on this.
   
 16. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,336
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  He he he vibogoyo watapewa posho kubwa kuliko wenye meno?
   
 17. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Ofisi zipo kigamboni na magogoni hawaitaji CV kipimo ni kupiga mbizi ukiwa kigamboni unapiga bizi kuja magogoni na ukiwa magogoni unazama unaibukia kigamboni!!
   
Loading...