Kigali, Kigali, Kigali ....Jamani nini hii??

Nimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie:

Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!!

Ila Kigali ni mojawapo ya mahali ambapo sitapenda wajukuu zangu waende ende au wapazoee...!!

Cc: Kaizer, Asprin, CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, gfsonwin, King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani, marejesho....

Babu DC!!

Hivi Nyie mbona mnakuwa wagumu wa kumwelewa Babu DC?
Mwenzenu mfadhaiko ulitaka kumwuua sababu ya uzuri wa watoto
wa Kinyarwanda.Watalii wanakuja Tanzania kuangalia mbuga za wanyama
wakati Kigali wanakwenda kuangalia Uumbaji wa Bwana kwa wanawake wa kinyarwanda
 
Ahsante sana kwa ufafanuzi, ila babu hawezi kupata mfadhaiko....

He is retired...

Babu DC!!
 
Napaamani sana Kigali...Maana fahari ya macho haifilisi duka.

.....kwa huyu swahiba yangu #Mstaafu aka Babu Dark City, yeye "kafilisiwa" duka kwa hiyo fahari ya macho...

Panga pangua nami lazima nikakione hicho kilichomtoa #Roho mtu mzima mwenzangu, tena haraka iwezekanavyo...
 
Last edited by a moderator:

Haki ya nani, sikujua kwamba akina Tomaso ni wengi kiasi hicho....

Mimi nimeongea, Mtambuzi kamwaga ushahidi, watu kibao wengine wakakazia.

Bado huamini??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nimetokea kupachukia sana Kigali, ingawa nasikia na Addis napo hapafai.....:lie::lie:

Bahati nzuri nimestaafu.... nasaidiana na Bibi kuitafuna pensheni yangu....lol!!

Ila Kigali ni mojawapo ya mahali ambapo sitapenda wajukuu zangu waende ende au wapazoee...!!

Cc: Kaizer, Asprin, CHUAKACHARA, KOKUTONA, Mwanyasi, gfsonwin, King'asti, Fixed Point, PakaJimmy, Filipo, Preta, Blaki Womani, marejesho....

Babu DC!!
Miminimekuelewa mzee mwenzangu, ila sijajua kama hawa vijana wamekuelewa....

Kigali ntaenda kama kuna ulazima wa kwenda kuhiji....:smile-big::smile-big:
 
Hapa sasa ndiyo jamaa yangu mmjo alinambia kwamba "you can tell a difference between a boy and a man"!!

Kigali hapai mkuu....

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom